Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Na sahv kila mtoto anataka awe msanii kama fulani au mtangazaj fulani
Ova
Sio kila mtoto anataka kuwa msanii na mtangazaji wa umbea wa redioni. Huyo atakuwa ni mtoto wa mtaani, school drop out, brown-headed step child, panya road.
Na mzazi ni illiterate and ignorant. Unalea mtoto anae aspire kuwa Giggy Money na Hamorapa !! Endangering the welfare of a child through willful neglect, criminal parenting.