Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Zanzibar Hali Tete huku watu wanatifuana balaa, Kuna punga moja linaitwa Mauzinde ana group lake ni laana tupu na wanajisikia ufahar kuwa hivyo na watu mtaani washawazoea.

Kuna shoga mmoja nilimsikia akihojiwa Clouds fm kipindi kile cha kina Dina Marious anakuambia aliishi Zanzibar na wakwe zake kwa miaka mi2 na walikuwa wanajua yy ni mwanamke.
Km ulaya duhhh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbna yule rafiki ako uliyekua unazungumza nae PM kuhusu mie, unajua km ni shoga? Au kwakua hakutaka kukuweka wazi???

Bas mie ndo nakuambia yule pia ni shoga, soon angekufungukia maana ana kukubalii hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najua ushampata ni nani, akili kichwani mwakooo, Una ukataa ushoga akati rafiki ako wa karibu hapa JF ni mdau kindaki ndaki

Poleeeeee sanaaa.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]weweee yupi huyooo?!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sim zinachangia sana kushawishi watu na jamii kiujumla kwa kupotoka na kuingia kwenye ushoga au usagaji

Porno/ anal porno
Watu wa magharib wametumia akili ndogo sana kueneza na kushawishi vitendo vya u-gay na vya u-lesbian kwa kutumia sim za mkononi (smartphone)

Parsonal-nishawahi kuangalia porno na anal porno pia yaani kipindi naangalia najikuta nasimama yaani uume unasimama mpaka unauma yaani natamani kumfanyia kitendo kile mtu yaani mwanamke au mwanaume, nashukuru kuacha kuangalia porno -ALHAMDULLILLAH

Kipindi mtu anaangalia mara Kwa mara hizo mambo zinaingia kichwani na anajikuta anatamani kumfanyia mtu au kufanyiwa yeye so watu wa magharib wanatumia sim kama tecnic ya kuumiza jamii zetu Kwa matendo ya u-gay na u-lesbian

NB

kwa wazazi hakikisha unampatia mtoto wako bint/kijana wako elimu sahihi ya matumizi ya sim ndio ukamruhusu kutumia sim bila hivyo tutapoteza mabinti na vijana wengi sana kwa uchafu unaoenezwa kupitia sim zetu za mikononi

Asante
 
Almost 57% ya mashaki wa Simba ni mapunga.
 
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Huyu ni Nuhu Mziwanda ana paja hilo mademu wakasome
images (7).jpeg
 
nikujadili vipi wakati hakuna cha zaidi jamaa alisema zaidi ya huo ukweli.
Mtajuana na wee na shoga yakooo, mkaendelee kunizungumzia huko PM, mkiishiwaa maneno ya kutongozana mnahamia kunisema mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poleeee mzee wa kimasikharaaa, ko usisahau kuwekaa uzi juu ya kumla shoga ako huyoo, watu wasomeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]weweee yupi huyooo?!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye anamjua, bas mda wote wako PM wakikosa cha kuzungumza wanahamia kunijadili mie.

Sasa yule mtu alikosa mbinu ya kumfungukia mzee wa kimasikharaaa, na wametongozanaaa sanaa kule PM.

huku jukwaani anajifanya kukana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtajuana na wee na shoga yakooo, mkaendelee kunizungumzia huko PM, mkiishiwaa maneno ya kutongozana mnahamia kunisema mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poleeee mzee wa kimasikharaaa, ko usisahau kuwekaa uzi juu ya kumla shoga ako huyoo, watu wasomeeee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sema nikukulee wew ubaya hiyo bidhaaa situmiii.
 
 
Back
Top Bottom