Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ni kweli.Sim zinachangia sana kushawishi watu na jamii kiujumla kwa kupotoka na kuingia kwenye ushoga au usagaji
Porno/ anal porno
Watu wa magharib wametumia akili ndogo sana kueneza na kushawishi vitendo vya u-gay na vya u-lesbian kwa kutumia sim za mkononi (smartphone)
Parsonal-nishawahi kuangalia porno na anal porno pia yaani kipindi naangalia najikuta nasimama yaani uume unasimama mpaka unauma yaani natamani kumfanyia kitendo kile mtu yaani mwanamke au mwanaume, nashukuru kuacha kuangalia porno -ALHAMDULLILLAH
Kipindi mtu anaangalia mara Kwa mara hizo mambo zinaingia kichwani na anajikuta anatamani kumfanyia mtu au kufanyiwa yeye so watu wa magharib wanatumia sim kama tecnic ya kuumiza jamii zetu Kwa matendo ya u-gay na u-lesbian
NB
kwa wazazi hakikisha unampatia mtoto wako bint/kijana wako elimu sahihi ya matumizi ya sim ndio ukamruhusu kutumia sim bila hivyo tutapoteza mabinti na vijana wengi sana kwa uchafu unaoenezwa kupitia sim zetu za mikononi
Asante
Hizi Smartphone zimechangia maovu sana kupitia pornography
Hata kwa Wake za watu kuliwa kumechangiwa sana na hizi simu