Kabisa yule mgonjwa anaonekana tuYule dada itakuwa huwa anamfanyia na dildo Ila wanatia kinyaa ngozi zao wale Sidhan kama wazima kwa zile ngozi
Km ulaya duhhhZanzibar Hali Tete huku watu wanatifuana balaa, Kuna punga moja linaitwa Mauzinde ana group lake ni laana tupu na wanajisikia ufahar kuwa hivyo na watu mtaani washawazoea.
Kuna shoga mmoja nilimsikia akihojiwa Clouds fm kipindi kile cha kina Dina Marious anakuambia aliishi Zanzibar na wakwe zake kwa miaka mi2 na walikuwa wanajua yy ni mwanamke.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]weweee yupi huyooo?!!Mbna yule rafiki ako uliyekua unazungumza nae PM kuhusu mie, unajua km ni shoga? Au kwakua hakutaka kukuweka wazi???
Bas mie ndo nakuambia yule pia ni shoga, soon angekufungukia maana ana kukubalii hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua ushampata ni nani, akili kichwani mwakooo, Una ukataa ushoga akati rafiki ako wa karibu hapa JF ni mdau kindaki ndaki
Poleeeeee sanaaa.
Kuna uzi unazunguka humu wa askari polisi wa zanzibarIla nimeona anakaa Zanzibar ,na huko Zanzibar wamejaa kina faki daddy faki na Kiringo wa kutosha.[emoji2827]
Watoto hawaVita bado mbichi
Baba yako na babu yako wakiongozaAlmost 57% ya mashaki wa Simba ni mapunga.
KumamaeOriginal postView attachment 2531963
Huyu ni Nuhu Mziwanda ana paja hilo mademu wakasomeWazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani
Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu
Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!
Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.
Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho
Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.
Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk
Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.
Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!
Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.
Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?
Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni
Inauma sana!
Mmh yuko kamili huyu?Huyu ni Nuhu Mziwanda ana paja hilo mademu wakasome
View attachment 2535304
Mtajuana na wee na shoga yakooo, mkaendelee kunizungumzia huko PM, mkiishiwaa maneno ya kutongozana mnahamia kunisema mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikujadili vipi wakati hakuna cha zaidi jamaa alisema zaidi ya huo ukweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye anamjua, bas mda wote wako PM wakikosa cha kuzungumza wanahamia kunijadili mie.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]weweee yupi huyooo?!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sema nikukulee wew ubaya hiyo bidhaaa situmiii.Mtajuana na wee na shoga yakooo, mkaendelee kunizungumzia huko PM, mkiishiwaa maneno ya kutongozana mnahamia kunisema mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeee mzee wa kimasikharaaa, ko usisahau kuwekaa uzi juu ya kumla shoga ako huyoo, watu wasomeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia kule kwao hilo sio kosa, ni kawaida tuHuko zenji naskia wanaume wanatia aibu.
Mitandaoni watu wanatangaza ushoga live serikali iko kimya.
Sasa itakuwaje watoto huko shuleni?