Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UONGOBaadhi ya wasanii nao wamegeuzwa mashoga. Nasikia kuna wafadhili toka nchi za magharibi wanalipa pesa ndefu watu hasa wasanii, kuendeleza ushoga Tanzania. Ukiona mtu kavaa T-shirt imeandikwa GAP huyo mchunguze vizuri, ila wengine wanakuta kwenye mitumba wananunua bila kujua GAP maana yake ni Gay And Proud, kama umemnunulia mwanao kwenye mitumba, itupe haraka au choma moto.
Tena anajichokoa hadi na dildo. LolChipo kidali mwili jumba kmbe dubai aliolewa
Ova
Steroids zinawaharibuKuna siku niko mjini nkasema nipite mitaa ya sinza,kuna mahali kuchek
Nakutana na vijana vifua vikubwa
Wamejazia.....ahhh kmbe mapunga
[emoji1]
Ova
Msanii wa za zamani wa Bongo movieAisee wakuu bado kiza kwangu huyu monalisa ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unahisi wee unanijua sanaaa eeeeh? Unajidanganyaa weyeee poleeeeee!!!!Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako na hizo Roho unazojitahidi kuzipandikiza zishindwe. Nilikuona kwenye zile picha zako ila nakufahamu spiritually. Unaamini ugumu ni kupiga vyuma na ubaunsa!!!! Uanaume sio Mwili Wala ubaunsa wenu wa kisasa wa kuinua vyuma. Uanaume ni mtazamo, uanaume ni ujasili, uanaume ni misimamo. Uanaume unajengwa na kutengenezwa na sio kuzaliwa nao. Simba dume anashinda na mtoto dume ili amjengee uwezo na mtazamo wa kiushindi na ndio maana zamani mwanaume ukijikwaa unaambiwa mwanaume halii wala haumii. Uanaume ni ujasili na sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Delicious alipokamatwaa, akasema nataka mabasha wangu wote niwatajeee waje hapa, mbna chapuuu aliachiwaaaaaa.Tukiamua kupambana na mashoga tupambane na wanaowafanya hivyo kwa sababu mtu hajifiri kuna anaemfira, bila ya hivyo haitosaidia chochote. Kila mtu atajifanya kukemea lakini tunayoyafanya nyuma ya milango yetu tunajua wenyewe!!
Na haubadilishi chochote sasa, huoni unafanya kazi bureee??Hii umetoa kali. By the way, kukukanya ndipo tunafanya kazi wenzio. Usidhani tunapoteza muda
Chululu si ndondondoNa haubadilishi chochote sasa, huoni unafanya kazi bureee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wewe humu, kuna mtu unaemjua kwa kumuona na ni shoga, huu ni mtandao tu, unatuungamisha katika kubadilishana mawazo na kupeana taarifa mbalimbali, Cha msingi sisi ni Watanzania, hatuiishi tu kuwa wanajamii forums tu.
Hivyo alietajwa kuwa amejitangaza ni mtanzania mwenzetu pia, lazima tulikemee maana huyu amevuka mipaka, ambayo Watanzania, hatukuwahi kushuhudia shoga likijitangaza, kwa namna hiii.
Ila mkuu ni kweli huoni nyuzi mbalimbali juu ya ushoga, na wakilaani tabia hiyo.
😁😁eti binamu!! Hapa kwakweli nami nashindwa kumuelewa mkuuWala halikuwa Lengo langu kukosoa hoja ya mleta hoja, ni kweli jamii yetu ipo kwenye tatizo kubwa kuhusu hatma ya watoto wetu dhidi ya hili wimbi kubwa la vitendo vya ushoga vinavyozidi kuongezeka
Mkuu kama umekuwa mfatiliaji wa mijadala humu basi utagundua kuna watu members wanajitangaza waziwazi ni wapenzi wa jinsia moja, na ukijaribu kuwajibu watakushambulia kwa maneno makali sana.
Sijawahi kuona mleta mada akiwakaripia hawa members wa humu jf zaidi tu huwa wanaitana na kutaniana binamu na hao ma hayawani, Sasa huu si ni unafiki?
Sasa kama mashoga wa humu ni marafiki zake huo ujasirisi wa kuupinga ushoga anautolea wapi?
Pia hii kuuzungumzia ushoga Kila wakati ndio kuusambaza kwenyewe. Binadamu ameumbwa na curiosity, Ile unavomwambia ushoga ni mbaya ndivyo atataka ajue ubaya wake hivyo atajaribu..
Ona tu huyu mtoto wa Monalisa alivyoongeza followers gafla baada ya iyo ishu ya yeye kujiita gay kufahamika. Imagine ni vijana wangapi watamuiga? Hizi habari zisingetangazwa nani angejua tabia yake?
Yaani tunaongeza mafirauni tukidhani tunatatua tatizo
Kwa mtazamo wangu haya mambo ni ya ku mute tu
We naye unapenda ligiHebu mtaje tumjue jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna wengine hatumfahamu.
Mie nime muambia amtajee tumjue sasa kosa langu nn??We naye unapenda ligi
Hilo lako hilooo.Chululu si ndondondo
Harafu wamekua na nguvu sana kwenye kupaza sauti wana miguu mingi sasa hivi wanatembelea mguu mmoja wa kataa ndoa aisee ..N.W.O against nature.
Hawa jamaa wanapambana kupunguza ongezeko la binadamu kupitia kubadilisha mtizamo katika kujamiiana.
Mziki na wasanii wa sasa wa support
Ushoga....tu
Ova
Kosa ni kutaka akutaje weweMie nime muambia amtajee tumjue sasa kosa langu nn??
Khaaaaah