Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Nyie ni mapunga tu na tumewastukia.

Jiandaeni hapo mlipoweka centre yenu ya ushoga bagamoyo.

Kinachofuata ni kutiwa kiberiti tu hatutaki mtuaribie Taifa letu.

Shwaini nyie mliojificha kwenye kichaka cha kataa ndoa.
Sisi hatukukwambia uoe huyo malaya .hao unaowaita mapunga ndo tunamla tigo mkeo tatizo sisi KATAA NDOA tunapata muda wa mazoezi na kupumzika tukikamata mkeo anakiona.KATAA NDOA
 
Aiseee niliona picha Monalisa amemkumbatia Mwanae wa kiume tall kamzidi hadi mama yake ,kuna mdau akauliza mbona mama anamkumbatia mwanae wa kiume namna hiyo?

Kuna mdau mwingine akasema watakuja kulana ,mdau mwingine akapandia huyu mwanae si shoga? Ila kwa maelezo yako Mshana Jr means Mama yake alijua kwambwa mwanae ni Boflo ndiyo maana anamkumbatia kimahbamahaba kama ntu na ntuwe.

Inasikitisha sana.
Kwahiyo mtu, akimnyooshea mwenzake kidole tu, kuwa yule ni shoga !! Imepita hiyo.
 
Ni kama huku tu unakuta mwanaume anajiita jina la kike na anaishi humu JF kama mwanamke, huo nao ni ushoga wa kidigitali.

Ila ushoga kuuzibiti ni kazi ngumu sana tushachelewa tangu mwaka 2000 ulipoingizwa kwenye katiba ya Jamhuri ama kwa makusudi au kwa kutokujua na Bunge letu hili hili.

Usishtuke au kubisha nenda kasome Ibara ya 13 (5) ya Katiba ya Jamhuri ya 1977 vizuri na kuielewa. Ndio maana ni ngumu sana kuiona Jamhuri ikipeleka kesi Mahakamani inafahamu yatakayoibuka hayataweza kubebeka.

Na katiba ndio sheria mama, itailazimisha Mahakama kutamka kuwa sheria.zinazopinga hiyo kitu kuwa ni batili, then tutajikuta tumenasa mtegoni kama Kenya ilivyotokea. Sio kwamba wanaunga mkono ushoga ila ni wamejaa mtegoni.
 
Sio yule mwenye username ya madaraja ya ufaulu kidato cha nne ?? Kama ni yeye nilijiskia vbaya mno
Yule bwege last week humu tulikuwa na battle kuhusu mambo haya haya ya ushoga aisee hawa watu ni wa kuonewa huruma coz hata kama tunatumia fake IDs even unajua kabisa hutajulikana lakini kuna ile nafsi kukusuta ila hawa hii kitu hawana.

Alikuwa anaandika ujinga huwezi kuusoma mara mbili nadhani alifikiri yupo kwenye ma-group yao ya W'app mwisho mods japo kwa unyonge sana wakampiga BAN maana kuna wakati mods wanawabeba,defence mechanism yao ni kuandika matusi,maneno yasiyo na tija na kujichekesha chekesha ili kumchosha wanayejadili nae.
 
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Mods wametoa ile screen shot Yako??
 
Sisi hatukukwambia uoe huyo malaya .hao unaowaita mapunga ndo tunamla tigo mkeo tatizo sisi KATAA NDOA tunapata muda wa mazoezi na kupumzika tukikamata mkeo anakiona.KATAA NDOA
Nilipo-bold!!

Vipi kama username uliyoi-quote hapo juu ni baba yako mzazi na unamwambia hukumwambia aowe huyo malaya ambae ni mama yako?

Ndo tunasema kupitia maandishi anayochapisha mtu kwa vidole vyake na namna anavyotumia ufahamu wake kuchanganua mambo ndipo tunapoweza kujua je anachokiongea ana uwezo nacho?wewe kupewa mke hustahili maana kwanza unaonekana mdogo pili una akili za kukurupuka na ndiyo wengi mmejaa kwenye hizo thread za kataa ndoa kataa ndoa.
 
Nilipo-bold!!

Vipi kama username uliyoi-quote hapo juu ni baba yako mzazi na unamwambia hukumwambia aowe huyo malaya ambae ni mama yako?

Ndo tunasema kupitia maandishi anayochapisha mtu kwa vidole vyake na namna anavyotumia ufahamu wake kuchanganua mambo ndipo tunapoweza kujua je anachokiongea ana uwezo nacho?wewe kupewa mke hustahili maana kwanza unaonekana mdogo pili una akili za kukurupuka na ndiyo wengi mmejaa kwenye hizo thread za kataa ndoa kataa ndoa.
Nipewe mke wa nini .mi mkeo ananitosha
 
Back
Top Bottom