First of all!
Wewe huna sifa za kuni-ispire mimi kwamba nitafute hela kwa sababu umepungukiwa sifa ya kuwa kiongozi wa familia/huna familia unayoiongoza so majukumu wewe huna pili siwezi kukosa heshima kwa wazee wa kijijini kwetu as long as wamenilea wameniongoza na hata sasa nawasikiliza shida wewe huwasikilizi wazee wako unawadharau ndo maana umejikuta kwenye group jinga lisilojitambua la kataa ndoa.
Ukinisoma maandishi yangu ktk uzi huu hakuna niliposema wasiotaka ndoa ni mapunga wewe unajistukia tu.
NB;next time unapoongea na mtu kuhusu masuala ya familia yake weka heshima siyo busara kuita mke wa mtu ”huyo malaya”.