Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Na deliscious walitoka siku ya tatu kwa milioni tano. Watu walidhani wangekosa fedha za kulipa waozee huko. Wengine walishabikia kwamba wangeolewa huko jela.
Umeajuaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan Delicious mwenyewe alikua hajui namna ya kuwabana polisi. Wangekutana na shoga msomi na anayejua vizuri katiba angewafurahishaaaa mnoooo.

Mil 5 ilitoka km geresha tyuuh, hata km wangekaza kutotoa wangetoka nje tyuuh, kwa case ya ushoga hapa Bongo hakuna atae fungwaaa kamwee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unachekesha, eti shoga anayeijua katiba! Duh! Kumbe kuna mashoga wasomi wa sheria?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninayooo ila sihongii wanaume, naziweka ili baadae nilee vibenteni na Marioos.

Somizi ndo anaweza kuleaa vibenten bado yuko mbichii akuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni yatima tu
 
Siku hizi vibinti vinaitana BFF kuwa makini sana... ukiwa mpenzi wa binti ambaye ana BFF wake wa kike na wanasikilizana sana basi kimbia hapo kuna hatari.

Umagharibi hasa umarekani umeharibu kabisa vijana wetu hawa wanaokua
 
Labda kama anakulaga kinyeo kamtu kenyewe kembemba kinyaa tupu kachafu chafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeee kwa kutesekaaaaa.

Hope hata hadhi ya kudate na mie hunaaa. Mxxxieeeeeewwww
 
Kuna kitu ngoja nikiweke sawa kuhusu hili sakata na pengine kinaweza kutufunua kwamba pemgine mtoto hapaswi kulaumiwa
Monalisa alikuwa mke wa ndoa wa 'Tyson' Mkenya aliyekuwa kwenye industry ya filamu Tanzania, baadae alimpeleka Kenya kusomea zaidi mambo ya filamu lakini Mona akazingua na kupigwa chini wakiwa tayari na mtoto mmoja yule wa kike
Ikabidi arudi bongo na life likawa tough sana na stress za kutosha zilizompelekea kujiingiza kwenye madawa ya kulevya by then kituo chao kilikuwa shule ya uhuru pale mataa kwa nyuma
Huko ndio alikutana na baba huyu mtoto wote wakiwa mateja na kupeana ujauzito wa huyu kijana.. Kwahiyo utotoni mtoto akakulia mazingira ya uteja wa wazazi
Kufupisha story wote waliweza kuchomoka huko, sasa kama jamaa alikuwa na mke mwingine Zenji hilo sifahamu ila kuna maisha fulani ya kigeto mtoto aliwahi kupitia
Monalisa na uteja[emoji15]
Sijawahi kusikia hii kitu,
Najua mmoja wa Watoto wake hao wa kiume amezaa na Mtu mwenye pesa
 
Hata Lile To La Irene Uwoya Simuelewi. Alafu ana iPhone macho matatu
[emoji1787][emoji1787]
Unaona wivu Mtoto amekuzidi Maisha ongezea pia anasoma Feza International school wakati huo wako anakimbizana St. Kayumba na vidumu na fagio
 
Serikali yenu ni wanafiki afadhali hata Uganda, Museveni ana kemea waziwazi.

Mnawakumbatia mashoga hakuna anayekemea that means wana watambua pamoja na haki zao.
Ningesema mengi hapo kwenye unafki wa Serikali ila sina Mwanasheria mie 🥲
 
Ningesema mengi hapo kwenye unafki wa Serikali ila sina Mwanasheria mie 🥲
Sema tu docta, tunao wanasheria wengi hapa jf😆😆.
Mi ndo maana watu wakikaza shingo kupinga ushoga naona kama wanapoteza muda wao bure. Hii kitu ina baraka za serikali . Na viongozi wengi ndo mabasha wenyewe
 
Japo haihusiani, nimesikia huko visiwani leo kuna askari ameviaibisha sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kusambaa video yake ya aibu.

Hili ni janga ambalo ni ngumu kujua kipi ni sahihi zaidi kati ya kuliongelea au kulikalia kimya. Kuliongelea japo kunaweza kuwa na dhana ya kulikemea pia kunaweza kumaanisha kulitangaza, upande mwingine, kulikalia kimya ni kuwapa uhuru wanaofanya wajione wako sahihi na kupata wengine wa kuwaiga.
 
Back
Top Bottom