Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Dume na liko serious kiasi ambacho ukikutana nalo kama hujapewa ushahidi unaweza kukataa na kukaa upande wake, ila kumbe....!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dume na liko serious kiasi ambacho ukikutana nalo kama hujapewa ushahidi unaweza kukataa na kukaa upande wake, ila kumbe....!
Isije tu ikawa ana watoto wako kwenye social media alafu wameona!!! 🙈
 
Vichocheo ni vingi sana kwa watoto kufata hii tabia ya u-gay na kupelekea mtoto kuwa gay wazazi tuwe makini sana kabla hatujapoteza watoto wa kuwa mashoga au wasagaji
 
Dume na liko serious kiasi ambacho ukikutana nalo kama hujapewa ushahidi unaweza kukataa na kukaa upande wake, ila kumbe....!
Halafu hapo mahali ni kama sokoni au stand kwenye yale mabanda.. Mwana anabanduliwa[emoji24]
 
Jiheshimu mkuu sipo hapa kumvunjia heshima yeyote. Uo ni utoto sina haja ya kukuaminisha ni mkubwa/mdogo kiasi gani.
Muandiko wako unaeleza mengi kuhusu umri na tabia za mtu. Hakuna mtu wa chini ya 2000's, mwenye majukumu, mwenye kipato Cha uhakika na mwanaume rijali ambaye anaweza poteza muda wake kuendesha kampeni ya kipuuzi mtandaoni eti kataa ndoa. Inaonekana Bado unakula kulala Bure hapo kwa shem wako na huwa unaonekana JF Kila Alfajiri ikimaanisha unaamshwa hapo subuleni kwa shem ili akina uncle waende shule. Kwa muandiko wako inaonekana unapendelea kuvaa jinsi zinazobana na zilizochanika chanika magotini huku zimeandikwa "Chitaki" na T-shirt unazoshindia zimeandikwa mbele "Zuchu Baby" na nyuma "WCB Classic" maana ndio swaga zenu nyie kula kulala Bure kwa "meji"

Ndoa ni taasisi iliyobora Bora na ya thamani iliyoanziahwa na Mungu mwenyewe. Hivi wanawake wote wazuri Hivi wenzio marijali tunatamani tuone hata 10 ila dini zinabana tu. Hivi ni raha namna Gani kwa mwanaume kutoka kwenye shughuli zako then unapokelewa na Mwanamke aliyevaa kanga Moja amekuandalia chakula mezani na maji ya kuoga huku anatangulia mbele wewe kidume upo nyuma. We acha wewe wenzio tunafaidi ila dogo Mmoja aliyelelewa na single mother au kutoka kwenye familia zenye migogoro, asiye na kipato, Wala asiye rijali anahamasisha watu wasioe kwa kutumia fake ID. Hahaaaaaaa, yaani nimuache Mama Manka mnyamwezi wangu wa Kipalapala kisa puuzi Moja linalopumuliwa?

Dogo kubali au kataa ila Nina wasiwasi na uanaume wako🤪😆🥴😔🥺😜😬😁
 
Aiseee niliona picha Monalisa amemkumbatia Mwanae wa kiume tall kamzidi hadi mama yake ,kuna mdau akauliza mbona mama anamkumbatia mwanae wa kiume namna hiyo?

Kuna mdau mwingine akasema watakuja kulana ,mdau mwingine akapandia huyu mwanae si shoga? Ila kwa maelezo yako Mshana Jr means Mama yake alijua kwambwa mwanae ni Boflo ndiyo maana anamkumbatia kimahbamahaba kama ntu na ntuwe.

Inasikitisha sana.
Kwahiyo Monalisa hatapata mkamwana?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Polisi ameamua kuwaoneshaa jinsi ambavyo hamuwezi kudeal na ushoga.

Ila yulee kibokoo, hadi shanga na kikukuu mguuni. Uwiiiiii

Anavoukatikia sasa afu Ali ukalia, ndani ya gari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ana balaaa bwana afande kaahh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu.. Kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume .. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa.. Kizazi kijacho kiko mashakani

Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani, kuna hatari kubwa sana kupotosha na kupoteza wengi kama msanii ama mtu maarufuvakiongea kitu

Hapo mwanzo tulizoea vijana barobaro wakijitangaza mitandaoni kuwa wao ni mashoga..haikuwa mbaya sana kwakuwa hawakujulikana na wengi.. Leo hii anjitokeza kijana wa kiume wa msanii maarufu anajitangaza hadharani kuwa yeye ni shoga ana anajivunia (ushoga[emoji24]). Huyu ana followers wangapi Yarab toba!

Kipenga cha kujitangaza live kimepulizwa rasmi Tanzania, viongozi wanapiga kimya kama hawaoni.. Tunapoteza kizazi kijacho.

Ushoga umetamalaki nchini lakini mamlaka hazina nguvu hata chembe ya kukemea.. Madhara ya kukubali mikopo na misaada yenye masharti kificho

Lifestyle wanayowalea na kuwakuza watoto wao hawa tunaowaita wasanii maarufu Tanzania ni janga kubwa.. Hafundishwi kuwa wanaume kamili hawafundishwi ukakamavu.. Wanalelewa kuwa wanaume wa kike ama wanawake wa kiume... Wengi wakilelewa na mzazi mmoja.

Hakuna wa kukemea.. Zaidi ya sisi wapiga kelele mitandaoni. Tuhamasishane sisi wazazi wa huku kuwalinda vijana wetu, tuongee nao tuwe nao karibu tuwachunguze kwa karibu mienendo yao, marafiki zao nknk

Tunataka nasi tuache mbegu itakayomea na kuendeleza kizazi.. Tupunguze harakati za kimaisha tutenge muda wa kutosha kuwa na vijana wetu... Hali ni mbaya sana.

Kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya kishenzi, isipewe nafasi haina malengo mazuri kwa maisha ya kesho na wengi wameivamia kwa ujuaji tu wa kitoto. Hawajui matokeo yake!

Madhara ya hii kampeni ikiachwa imee yataonekana soon.. Huko mavyuoni hali ya ushoga na usagaji ni mbaya sana huko kwenye mitandao ya kijamii ndio usiseme.

Kijana anamaliza chuo ni msagaji, kijana anamaliza chuo ni shoga! Kuna familia tena hapo? Kuna ndoa tena hapo? Kuna future tena hapo?

Kama mtoto wa Monalisa kajitangaza akamewe wazi na awe ni wa mwisho. Hili likiachwa janga kubwa linakuja. Zamani tuhuma za aibu za ushoga zilikuwa maeneo ya mwambao .. Siku hizi mpaka chuga ni kama fasheni

Inauma sana!
Watakuja tena kucomment hapa eti "kataa ndoa" UPUMBAVU KABISA
 
Endeleeni kufanywa nyie wanaume ila tukizipata koneksheni tutazuangalia hatutaacha maana Mungu ana njia ya kuumbua watu Kwa namna nyingi ukiishi nyumba ya vioo acha ugomvi wa mawe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom