Mkuu Ritz
Hivi kuna ajabu gani mtoto wa mganga wa kienyeji kurithi matunguri ya baba yake? Dr.Slaa amechanganikiwa kumbe watoto baba yao alikuwa ni mwasisi wa Chadema kumbe kulikuwa na ajabu gani wao kujiunga na Chadema? Dr.Slaa kazi hana anatakuwa kwenye magazeti kila haishi kulazimisha habari hata kama haina mshiko
Chama
Gongo la mboto DSM
Wao! Mi kudhani wamfahamu, kumbe bwana wewe wamjua kabisa? Duuuu! HongeraNamjua Ester wasira, kasoma sheria mlimani,ni kipanga sana huyu dada na anajitambua
Crucial Man, nalizungumzia hili swala kwa karata zilizopo mezani... Kama umenisoma post zangu zote humu utanipata vema kwa nini nimezungumzia hivyo. Sio kwamba haitakiwi watoto watumie hilo jina la Wassira, na wala haina maana kuwa sio watoto wake (ingawa sio wa kuwazaa mwenyewe); ila nalaumu kuwa hii yote imetokana na jinsi habari ya hao mabinti kupewa uzitow kujiunga kwao CDM...
Labda nikuulize Crucial Man; wewe unadhani wangekuwa ni mambinti wa kawaida tu hawana jina la Wassira hio habari ingepewa uzito uliopewa? Unadhani kuwa kuna uwezekano ule ule wa kwamba Dr. Slaa ndio ange kabidhi kadi? Na unadhani vyombo vya habari wangeitwa ili kuona na kuandika habari kuhusu kujiunga kwa akina binti Wassira? 'Wassira' kwa Waziri linaweza lisiwe ni jina lake na kwamba hana monopoly over the name, ILA ukweli unabaki kuwa yeye waziri ndio kafanya hilo jina la Wassira liwe na Uzito...
Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani
Chama
Gongo la mboto DSM
Ashadii nadhani unaleta logical thinking kwenye siasa.
Katika siasa hayo yote yanawekwa kando! Kwa kuwa Wasira Steve yuko too vocal linapokuja swala la CDM nadhan wanaCDM wametumia hii fursa kuonyesha kuwa hata wanafamilia yake hawaamini anachohubiri baba yao....kisiasa hilo ni goli.
Chuoni masomo yanazidiana uzito: Kikwete alimkabidhi kadi Nakaaya Sumari alipojiengua CDM, jaribu kujiunga CCM wewe kama JK atakuja kukupa kadi....
Kwenye siasa habari ya kina Wasiraz ni HABARI, ni kama ambavyo weight ya Rizwan haiwezi kufanana na ya mzee wa KuDADADEKI ingawa wote ni wanaCCM...
CDM wanaweza kufukuza madiwani kirahisi sana BUT likija swala la mbunge kama Shibuda lazima wafikirie mara mbili.....
Hiyo ndo siasa Ashadii....hakuna usawa

Sasa ndugu yangu Pauls wewe kibinafsi ulitaka watoto hao wapokelee kadi za CDM uchocholoni, wewe umeona ili kuepusha conflict of interest za vyama waende kupokea kadi gizani??? Kutokea kwenye media ni ushindi kwa CDM kupata wanachama makini, hao watoto ni wanasheria wanao uwezo wa kufikia malengo yao bila msaada wa baba mndogo, ila wameonyesha kuwa CCM ni chaka la mafisadi (pamoja na Steven Wasira) haina faida tena kwa Watanzania!!!!Now you're talking......
Jana niliyaongea haya almanusura nitolewe macho
Hawa watoto ni wanasheria na nihaki yao kujiunga CDM lakini pia walipaswa kutumia akili kuepusha conflicts za ukoo kwa kutokubali kutumiwa kama mtaji wa kisiasa kwa kile kinaonekana kumdhihaki wasira
What is so special kwa wao kwenda makao makuu kupokewa na Slaa Huku wamezungukwa na media?
Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani
Chama
Gongo la mboto DSM
Huyu muheshimiwa ana sehemu ya majibu yako kwenye redSasa ndugu yangu Pauls wewe kibinafsi ulitaka watoto hao wapokelee kadi za CDM uchocholoni, wewe umeona ili kuepusha conflict of interest za vyama waende kupokea kadi gizani??? Kutokea kwenye media ni ushindi kwa CDM kupata wanachama makini, hao watoto ni wanasheria wanao uwezo wa kufikia malengo yao bila msaada wa baba mndogo, ila wameonyesha kuwa CCM ni chaka la mafisadi (pamoja na Steven Wasira) haina faida tena kwa Watanzania!!!!
Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani
Chama
Gongo la mboto DSM
Hujaelewa nilivyokuambia ni furaha watoto kurudi nyumbani?Hujaelewa ulipoambiwa kuwa Steve Wassira hana haki miliki ya jina Zaidi ya wanafamilia wengine.Baba yao alikuwepo ktk siasa za CDM vyema kuliko steve.
SI lazima wachukuliwe CCM ndipo wapate publicity, vyama vinafanya rebranding ni more internal issue ila lazima kiwatangazie wafuasi na wanachama wao kwani ni sehemu ya internal members.
Pia ni move nzuri ndogo ila ina effects kama unavyoziona.
Kama hujashtuka mhemo wa nini sasa?Hujaona usultani wa CCM angalia kuna kawawa wangapi?Kikwete wangapi?malima na mwinyi.Utakimbia kivuli chako sana.By the time uchaguzi unafika CCM watakuwa wanafanana sana na shutuma wawapazo wengine.Wabaguzi wakubwa wanaopiga vita wa kaskazini waziwazi na kuendesha uamsho na akina ponda bara.CDM hawatunzi huu uovu.
Nimeshachukua namba ngoja saa4 usiku nimchombeze lilian, what an opportnty
Kuna gazeti nimeona leo limeandika eti ukiunganisha uenyekiti wa JK huko CCM, pamoja na wanafamilia wake, CCM itakuwa na ''THE KIKWETE 5'' na kwenye nec inakuwa ''BMW'' yaani Baba, mama na watoto.