mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Mkuu Ritz
Hivi kuna ajabu gani mtoto wa mganga wa kienyeji kurithi matunguri ya baba yake? Dr.Slaa amechanganikiwa kumbe watoto baba yao alikuwa ni mwasisi wa Chadema kumbe kulikuwa na ajabu gani wao kujiunga na Chadema? Dr.Slaa kazi hana anatakuwa kwenye magazeti kila haishi kulazimisha habari hata kama haina mshiko
Chama
Gongo la mboto DSM
dogo weye ndie unaelazimisha habari! Hili jambo halikufanyika kwa siri na wahusika wamejieleza, labda kama jina la wasira lina tbs! Nimeamini kweli kichaa si lazima abebe kiroba cha mavi!