Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Mkuu Ritz
Hivi kuna ajabu gani mtoto wa mganga wa kienyeji kurithi matunguri ya baba yake? Dr.Slaa amechanganikiwa kumbe watoto baba yao alikuwa ni mwasisi wa Chadema kumbe kulikuwa na ajabu gani wao kujiunga na Chadema? Dr.Slaa kazi hana anatakuwa kwenye magazeti kila haishi kulazimisha habari hata kama haina mshiko

Chama
Gongo la mboto DSM

dogo weye ndie unaelazimisha habari! Hili jambo halikufanyika kwa siri na wahusika wamejieleza, labda kama jina la wasira lina tbs! Nimeamini kweli kichaa si lazima abebe kiroba cha mavi!
 
Namjua Ester wasira, kasoma sheria mlimani,ni kipanga sana huyu dada na anajitambua
 
Crucial Man, nalizungumzia hili swala kwa karata zilizopo mezani... Kama umenisoma post zangu zote humu utanipata vema kwa nini nimezungumzia hivyo. Sio kwamba haitakiwi watoto watumie hilo jina la Wassira, na wala haina maana kuwa sio watoto wake (ingawa sio wa kuwazaa mwenyewe); ila nalaumu kuwa hii yote imetokana na jinsi habari ya hao mabinti kupewa uzitow kujiunga kwao CDM...

Labda nikuulize Crucial Man; wewe unadhani wangekuwa ni mambinti wa kawaida tu hawana jina la Wassira hio habari ingepewa uzito uliopewa? Unadhani kuwa kuna uwezekano ule ule wa kwamba Dr. Slaa ndio ange kabidhi kadi? Na unadhani vyombo vya habari wangeitwa ili kuona na kuandika habari kuhusu kujiunga kwa akina binti Wassira? 'Wassira' kwa Waziri linaweza lisiwe ni jina lake na kwamba hana monopoly over the name, ILA ukweli unabaki kuwa yeye waziri ndio kafanya hilo jina la Wassira liwe na Uzito...

Ashadii nadhani unaleta logical thinking kwenye siasa.

Katika siasa hayo yote yanawekwa kando! Kwa kuwa Wasira Steve yuko too vocal linapokuja swala la CDM nadhan wanaCDM wametumia hii fursa kuonyesha kuwa hata wanafamilia yake hawaamini anachohubiri baba yao....kisiasa hilo ni goli.

Chuoni masomo yanazidiana uzito: Kikwete alimkabidhi kadi Nakaaya Sumari alipojiengua CDM, jaribu kujiunga CCM wewe kama JK atakuja kukupa kadi....
Kwenye siasa habari ya kina Wasiraz ni HABARI, ni kama ambavyo weight ya Rizwan haiwezi kufanana na ya mzee wa KuDADADEKI ingawa wote ni wanaCCM...

CDM wanaweza kufukuza madiwani kirahisi sana BUT likija swala la mbunge kama Shibuda lazima wafikirie mara mbili.....

Hiyo ndo siasa Ashadii....hakuna usawa
 
Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani

Chama
Gongo la mboto DSM

Unajua wengi humu wamshindwa kuelewa jambo kwamba this is Politics. Na kwenye Politics popularity ya chama inaletwa na vitu vingi ikiweno publicity. Sasa what Dr Slaa did was jus to call the piper and the rest we know( now everybody is dancing to the tune from waandishi wa habari Wassira na sisi watu wakawaida)*

Kuhamia watoto from ukoo wa Wassira is a big deal for chadema as well as it is news. And so Chadrma took advantage of th situation kwakutangaza publicly knowingly am sure, kwamba Stephen Wassira shallow kwenye siasa ataingia kichwa kichwa atazamisha meli, na kweli kaanza kuharibu na kufanya once again Chadema be tje topic of the day kwenye media which Chadema is all they want.

Alaf waandishi wa habari hawana makosa. Wao they want to sell papers its business for them tena kwenye hizi controvesial news ndo usiseme. Kuna gazeti moja nilipenda waliandika Watoto wa Wassira wajiunga Chadema. Nilipenda coz kama kweli mwandishi ndo alifikiria kama navyohisi mimi basi ni noumer. Kuna kitu kinaitwa*double entendre ( sentence inakuwa na double meaning)*
1.Watoto wa wassira( meaning ya kwanza "kweli watoto wa George * * * * * wassira wamejiunga na chadema)*

2. Watoto wa wassira- ( hapa they are trying to sell papers kwa mimu na wewe ambaye tukisikia Wassira moja kwa moja akili yetu inamkumbuka Stephen Wassira, ukisikia watoto wake tena wamejiunga na chadema wewe lazima utafute habari ujue kwa kina imekuwaje tena mtoto wa kigogo wa CCM kaenda Chadema, ukinunua gazeti hee kumbe watoto wa mdogo wake)*

Thats Politics. Na Politics na Media are inseparable, they are actually mutual friends. Hawa they get media covarage hence publicity hawa they get to sell papers
 
Ashadii nadhani unaleta logical thinking kwenye siasa.

Katika siasa hayo yote yanawekwa kando! Kwa kuwa Wasira Steve yuko too vocal linapokuja swala la CDM nadhan wanaCDM wametumia hii fursa kuonyesha kuwa hata wanafamilia yake hawaamini anachohubiri baba yao....kisiasa hilo ni goli.

Chuoni masomo yanazidiana uzito: Kikwete alimkabidhi kadi Nakaaya Sumari alipojiengua CDM, jaribu kujiunga CCM wewe kama JK atakuja kukupa kadi....
Kwenye siasa habari ya kina Wasiraz ni HABARI, ni kama ambavyo weight ya Rizwan haiwezi kufanana na ya mzee wa KuDADADEKI ingawa wote ni wanaCCM...

CDM wanaweza kufukuza madiwani kirahisi sana BUT likija swala la mbunge kama Shibuda lazima wafikirie mara mbili.....

Hiyo ndo siasa Ashadii....hakuna usawa

You are ryt kaka. Watu wamesahaunkama hii Politics. Or unless hawafahamu hoe Politics works.
 
Ashadii nadhani unaleta logical thinking kwenye siasa.

Katika siasa hayo yote yanawekwa kando! Kwa kuwa Wasira Steve yuko too vocal linapokuja swala la CDM nadhan wanaCDM wametumia hii fursa kuonyesha kuwa hata wanafamilia yake hawaamini anachohubiri baba yao....kisiasa hilo ni goli.

Chuoni masomo yanazidiana uzito: Kikwete alimkabidhi kadi Nakaaya Sumari alipojiengua CDM, jaribu kujiunga CCM wewe kama JK atakuja kukupa kadi....
Kwenye siasa habari ya kina Wasiraz ni HABARI, ni kama ambavyo weight ya Rizwan haiwezi kufanana na ya mzee wa KuDADADEKI ingawa wote ni wanaCCM...

CDM wanaweza kufukuza madiwani kirahisi sana BUT likija swala la mbunge kama Shibuda lazima wafikirie mara mbili.....

Hiyo ndo siasa Ashadii....hakuna usawa

Realman nimependa haya maelezo yako; kwa maelezo haya nadhani tupo pamoja (na ndiyo ambayo msingi wa maelezo yangu nilitowa awali)... Na hilo ndilo neno! Of course kima tenda siasa haina logical thinking ila kuelewa matendo yenyewe logical thinking ni msingi zaidi ya ushabiki.

Ukiweka ushabiki kando ilitakiwa wafuasia wa CDM wawe wazi kwa kueleza hayo in blue kuliko kuanza na kujitetea kwa hoja zisizo msingi za mara jina sio lake, wala kuwa hwakuelewa impact ya kutumia jina la Wassira. Wao viongozi wa CDM Vs CCM wacha wafanye ushabiki katika matendo yao, lakini haina maana kuwa hata sie watazamaji tuwe washabiki. Walau basi sisi tuite kitu kama kilivo, ikiwa kijiko iwe kijiko, ikiwa sahani iwe sahani.
 
Now you're talking......
Jana niliyaongea haya almanusura nitolewe macho
Hawa watoto ni wanasheria na nihaki yao kujiunga CDM lakini pia walipaswa kutumia akili kuepusha conflicts za ukoo kwa kutokubali kutumiwa kama mtaji wa kisiasa kwa kile kinaonekana kumdhihaki wasira
What is so special kwa wao kwenda makao makuu kupokewa na Slaa Huku wamezungukwa na media?
Sasa ndugu yangu Pauls wewe kibinafsi ulitaka watoto hao wapokelee kadi za CDM uchocholoni, wewe umeona ili kuepusha conflict of interest za vyama waende kupokea kadi gizani??? Kutokea kwenye media ni ushindi kwa CDM kupata wanachama makini, hao watoto ni wanasheria wanao uwezo wa kufikia malengo yao bila msaada wa baba mndogo, ila wameonyesha kuwa CCM ni chaka la mafisadi (pamoja na Steven Wasira) haina faida tena kwa Watanzania!!!!

Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani

Chama
Gongo la mboto DSM

Hujaelewa nilivyokuambia ni furaha watoto kurudi nyumbani?Hujaelewa ulipoambiwa kuwa Steve Wassira hana haki miliki ya jina Zaidi ya wanafamilia wengine.Baba yao alikuwepo ktk siasa za CDM vyema kuliko steve.

SI lazima wachukuliwe CCM ndipo wapate publicity, vyama vinafanya rebranding ni more internal issue ila lazima kiwatangazie wafuasi na wanachama wao kwani ni sehemu ya internal members.

Pia ni move nzuri ndogo ila ina effects kama unavyoziona.

Kama hujashtuka mhemo wa nini sasa?Hujaona usultani wa CCM angalia kuna kawawa wangapi?Kikwete wangapi?malima na mwinyi.Utakimbia kivuli chako sana.By the time uchaguzi unafika CCM watakuwa wanafanana sana na shutuma wawapazo wengine.Wabaguzi wakubwa wanaopiga vita wa kaskazini waziwazi na kuendesha uamsho na akina ponda bara.CDM hawatunzi huu uovu.
 
mimi nachojua ni kimoja kuwa hawa ni watoto wa Wassira tosha , hakuna hoja nyingine hapa, sasa watoto wa kaka yako kwa mila na desturi za kiatanzania nini kwako ? kama mtoto wa mwenzako ni mtoto wako inakuawaje wassira akipinga hili ?
 
nawahukuru kwa ufafanuzi wenu mzuri, sula la itikadi ni la mtu binafsi halihusiani na familia. mbona yeye Steven Wasira alikuwa mwanachama wa NCCR mwaka 1995 na alipata ubunge wa BUnda kupita chama hicho kabla ya ubnge wake kutenguliwa na mahakama kuu naye kuzuiwa kugombea ubunge kwa miaka 5.
nashauri tuache uhuru wa mtu kujiunga na chama anachohitaji, isiwe uhasama.
 
Sasa ndugu yangu Pauls wewe kibinafsi ulitaka watoto hao wapokelee kadi za CDM uchocholoni, wewe umeona ili kuepusha conflict of interest za vyama waende kupokea kadi gizani??? Kutokea kwenye media ni ushindi kwa CDM kupata wanachama makini, hao watoto ni wanasheria wanao uwezo wa kufikia malengo yao bila msaada wa baba mndogo, ila wameonyesha kuwa CCM ni chaka la mafisadi (pamoja na Steven Wasira) haina faida tena kwa Watanzania!!!!
Huyu muheshimiwa ana sehemu ya majibu yako kwenye red
Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani

Chama
Gongo la mboto DSM

Ni jina WASSIRA ndilo lililofanya ofisi nzima ya CDM makao makuu wakaacha shughuli zao zote pamoja na katibu wake mkuu wake ili kuwakabidhi kadi
Kuna vuchwa vingapi vya maana vinajiunga CDM bana na vinachukua kadi kwenye matawi au hata HQ kwa kuwaona wahusika tu huku chini?
Mimi nilimaanisha conflict za kifamila, wangeweza hata kuibukia kwenye mikutano ya MC4 na wakapewa kadi huko kama wafanyavyo mamilioni just kuepusha conflicts
Lakini kwakuwa labda kufanya vile kuna wanufaisha na wao pia kisiasa basi haina kwere
 
Hujaelewa nilivyokuambia ni furaha watoto kurudi nyumbani?Hujaelewa ulipoambiwa kuwa Steve Wassira hana haki miliki ya jina Zaidi ya wanafamilia wengine.Baba yao alikuwepo ktk siasa za CDM vyema kuliko steve.

SI lazima wachukuliwe CCM ndipo wapate publicity, vyama vinafanya rebranding ni more internal issue ila lazima kiwatangazie wafuasi na wanachama wao kwani ni sehemu ya internal members.

Pia ni move nzuri ndogo ila ina effects kama unavyoziona.

Kama hujashtuka mhemo wa nini sasa?Hujaona usultani wa CCM angalia kuna kawawa wangapi?Kikwete wangapi?malima na mwinyi.Utakimbia kivuli chako sana.By the time uchaguzi unafika CCM watakuwa wanafanana sana na shutuma wawapazo wengine.Wabaguzi wakubwa wanaopiga vita wa kaskazini waziwazi na kuendesha uamsho na akina ponda bara.CDM hawatunzi huu uovu.

Kuna gazeti nimeona leo limeandika eti ukiunganisha uenyekiti wa JK huko CCM, pamoja na wanafamilia wake, CCM itakuwa na ''THE KIKWETE 5'' na kwenye nec inakuwa ''BMW'' yaani Baba, mama na watoto.
 
Nimeshachukua namba ngoja saa4 usiku nimchombeze lilian, what an opportnty
 
Kuna gazeti nimeona leo limeandika eti ukiunganisha uenyekiti wa JK huko CCM, pamoja na wanafamilia wake, CCM itakuwa na ''THE KIKWETE 5'' na kwenye nec inakuwa ''BMW'' yaani Baba, mama na watoto.

hawa wanasiasa wote wabinafsi bhana,,,,,
 
WAPIGANAJI WENZETU MMEFANYA VEMA KUTOA UFAFANUZI. NAOMBA MUONESHE MOYO WA KULIONGOZA JIMBO LA BABA YENU AMBALO LIMEMSHINDA HADI .......tusi kali
 
Back
Top Bottom