Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

Mkuu Ritz
Hivi kuna ajabu gani mtoto wa mganga wa kienyeji kurithi matunguri ya baba yake? Dr.Slaa amechanganikiwa kumbe watoto baba yao alikuwa ni mwasisi wa Chadema kumbe kulikuwa na ajabu gani wao kujiunga na Chadema? Dr.Slaa kazi hana anatakuwa kwenye magazeti kila haishi kulazimisha habari hata kama haina mshiko

Chama
Gongo la mboto DSM
 
...the same ordinary results of journalistic madness...! local media, covered with misleading information by editors, too uncaring, or unmotivated, or just plain LAZY, to make a call to prospect to ask for the original wording....
 
Mkuu Ritz
JF lazima iwe kokoro yupo mtu kama molemo yeye anachojua ni kumshangilia Dr. Slaa hata kama kajifunga goli mwenyewe yeye anashangilia Dr. Slaa kafunga goli sasa hapo si lazima iwe kokoro!

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Acha uzembe..Kila raia ana kipindi ch akuukana au kuukubali uraia.Kila azaliwaye na wazazi wakristu na kipindi cha kubatizwa.Na kila chipukizi wa CCM hupewa kaipo cha utii.Kuwa watoto wa muasisi haimaanishi by default ni wana CDM.
 
Acha uzembe..Kila raia ana kipindi ch akuukana au kuukubali uraia.Kila azaliwaye na wazazi wakristu na kipindi cha kubatizwa.Na kila chipukizi wa CCM hupewa kaipo cha utii.Kuwa watoto wa muasisi haimaanishi by default ni wana CDM.

Uzembe mnao nyie mlioshangilia mkidhani walikuwa ni watoto wa kuzaa wa Wassira sasa mmeujua ukweli mmbaki midomo wazi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Uzembe mnao nyie mlioshangilia mkidhani walikuwa ni watoto wa kuzaa wa Wassira sasa mmeujua ukweli mmbaki midomo wazi

Chama
Gongo la mboto DSM

Nani kakuahakikishia hilo?Wewe ndiye ulihofu hadi hukuandika kiu hadi uliposikia hilo.CDm walikuwa na raha kuwa watoto wa muasisi wanaingi kundini rasmi kwa ridhaa yao wenyewe.

By the way hili povu la wassira kama la Mkapa litawatoa jasho sana mwaka huu.Km mbweha waliofungwa mioto mkiani na kuachiwa kondeni palipo na uoto mkavu.CDM wameona wakimwacha bila mweka busy ataleta shida.Hujawahi ona picture ya chimp,amefunga miguu na huku akisoma gazeti?pembeni kukiwa na maandisho "Don't sit idly do somethings"?
 

Aliyenihakikishia hilo ni Dr.Slaa; jiulize zaidi kutafuta publicity kulikuwa na umuhimu gani wa yeye kuwakabidhi kadi? Hao mabinti hakuna anayewajua na isitoseh hawajawahi kuwa makada wa CCM kama walikuwa ni wanachama walikuwa ni kawaida; alichotafuta ni umaarufu wa jina la Wassira zaidi hilo hakuna lolote. Wala halikunishtua nilishapost hao ni watu wazima na haki ya kufanya maamuzi yao ya kisiasa; CCM ni chama cha kidemokrasia si chama cha kisultani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ningekuwa mimi wasirra, ningesisitiza kuw kweli ni watoto wangu, maana ni watoto wa kakangu tumbo moja. Halafu unawaachia wenye akili wawafafanulie magoi goi. Siwezi kumkana mtoto wa mdogo wangu hadharani kwa ajili ya sihasa!
 
KUmbe kitambooooo mulikua CHADEMA ilaya juzi ni uthibitisho tu na kutaka umaarufu.....
 
Ni habari gani iliyopotoshwa? walichosema ni cha kweli, George Wasiria alifariki, anayewale ni Steve Wasira! sasa yeye hataki nini?

Biashara ya kuuza habari (magazeti ) nayo imechangia kupotosha hii habari..
 
Steven Wasira anajua kuwa CDM sio dhambi, kwani hata yeye aligombea ubunge 1995 kupitia NCCR Mageuzi, na alimshinda Warioba
 
Ni habari gani iliyopotoshwa? walichosema ni cha kweli, George Wasiria alifariki, anayewale ni Steve Wasira! sasa yeye hataki nini?
Walipaswa/mlipaswa kuandika hayo unayotuambia sasa.
 

Bilasahaka Wasira kuna jambo pia analificha kuhusu hawa mabinti, lakini kuna haja kuvuta subira, tunaweza kupata kilichojfisha nyuma ya pazia.
 

Ashadii kwa hiyo ulitaka wale watoto wabadili majina yao kisa wanajiunga chadema? Wasira ni jina la ukoo,so kama steven anafeel hilo jina halikupaswa kuonekana kwenye orodha ya wanachama wa chadema,yeye ndio abadili jina aondoa wasira abaki na steven sijui nani.
 
Andrewk! Hivi mzee George Wasira alifariki lini? Kumbukumbu zangu yungali hai, ana kikampuni cha uwakili bado na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya pamba.Tujuze tafadhali DSM kubwa.
 
isije ikawa wako" undercover" wana mission to accomplish.CHADEMA BEWARE!
 
Crucial Man, nalizungumzia hili swala kwa karata zilizopo mezani... Kama umenisoma post zangu zote humu utanipata vema kwa nini nimezungumzia hivyo. Sio kwamba haitakiwi watoto watumie hilo jina la Wassira, na wala haina maana kuwa sio watoto wake (ingawa sio wa kuwazaa mwenyewe); ila nalaumu kuwa hii yote imetokana na jinsi habari ya hao mabinti kupewa uzitow kujiunga kwao CDM...

Labda nikuulize Crucial Man; wewe unadhani wangekuwa ni mambinti wa kawaida tu hawana jina la Wassira hio habari ingepewa uzito uliopewa? Unadhani kuwa kuna uwezekano ule ule wa kwamba Dr. Slaa ndio ange kabidhi kadi? Na unadhani vyombo vya habari wangeitwa ili kuona na kuandika habari kuhusu kujiunga kwa akina binti Wassira? 'Wassira' kwa Waziri linaweza lisiwe ni jina lake na kwamba hana monopoly over the name, ILA ukweli unabaki kuwa yeye waziri ndio kafanya hilo jina la Wassira liwe na Uzito...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…