Molemo hivi unawajua hawa watoto au ndio umekosa la kusema?Hawa watoti ni Bab Kubwa.CDM mmelamba dume.
Chama
Gongo la mboto DSM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Molemo hivi unawajua hawa watoto au ndio umekosa la kusema?Hawa watoti ni Bab Kubwa.CDM mmelamba dume.
I like it Esther. Will you marry me?Asante sana Esther Wasira 0655 048797 kwa ufafanuzi
![]()
Mkuu Ritz
Hivi kuna ajabu gani mtoto wa mganga wa kienyeji kurithi matunguri ya baba yake? Dr.Slaa amechanganikiwa kumbe watoto baba yao alikuwa ni mwasisi wa Chadema kumbe kulikuwa na ajabu gani wao kujiunga na Chadema? Dr.Slaa kazi hana anatakuwa kwenye magazeti kila haishi kulazimisha habari hata kama haina mshiko
Chama
Gongo la mboto DSM
Acha uzembe..Kila raia ana kipindi ch akuukana au kuukubali uraia.Kila azaliwaye na wazazi wakristu na kipindi cha kubatizwa.Na kila chipukizi wa CCM hupewa kaipo cha utii.Kuwa watoto wa muasisi haimaanishi by default ni wana CDM.
Uzembe mnao nyie mlioshangilia mkidhani walikuwa ni watoto wa kuzaa wa Wassira sasa mmeujua ukweli mmbaki midomo wazi
Chama
Gongo la mboto DSM
Nani kakuahakikishia hilo?Wewe ndiye ulihofu hadi hukuandika kiu hadi uliposikia hilo.CDm walikuwa na raha kuwa watoto wa muasisi wanaingi kundini rasmi kwa ridhaa yao wenyewe.
By the way hili povu la wassira kama la Mkapa litawatoa jasho sana mwaka huu.Km mbweha waliofungwa mioto mkiani na kuachiwa kondeni palipo na uoto mkavu.CDM wameona wakimwacha bila mweka busy ataleta shida.Hujawahi ona picture ya chimp,amefunga miguu na huku akisoma gazeti?pembeni kukiwa na maandisho "Don't sit idly do somethings"?
Biashara ya kuuza habari (magazeti ) nayo imechangia kupotosha hii habari..
Walipaswa/mlipaswa kuandika hayo unayotuambia sasa.Ni habari gani iliyopotoshwa? walichosema ni cha kweli, George Wasiria alifariki, anayewale ni Steve Wasira! sasa yeye hataki nini?
Haya ndio matatizo ya gutter politics... Katika haya mambo ya kisiasa msingi wa familia yoyote ni mshikamano hasa wakati wa kashfa mbali mbali ziwe za kweli ama uongo. Sielewi uhusiano wa hao mabinti na Waziri Wassira, ila ukweli utabaki lazima kutakuwa na kidoa kimeingia sababu tu ya baadhi ya waandishi waliandika habiri katika misingi ya ushabiki!
Imekuwa ni sifa kutaja watoto wa mkubwa fulani kajiunga CDM nadhani in a way kama kuonesha kuwa watoto hawawakubali wazazi wao na vyama vyao (mara nyingi kutoka CCM). Ile habari ya juzi kuhusu hao mabinti ilielezwa in the lines ya kuonesha Waziri Wassira kana kamba ni baba yao mzazi, kumbe NDIO ni ndugu lakini sio baba yao Mzazi.
Nam support Wassira kuliweka wazi kuwa wale sio wanawe na kwamba wa ndugu yake... ingawa kauli yake inaonesha wazi ni namna gani amekereka; na nawapongeza pia akina binti Wassira kuliweka hili wazi na kulipa ufafanuzi na kutowa upande wao wa shillingi. Haya mambo hayatakoma, yataendelea tu ili mradi ushabiki wa majina makubwa katika siasa yakiendelea kushobokewa... Mambo ya aibu basi tu.
Mercyless labda kama unabisha kwa ajili tu ya ubishi na sio kuelewa... Katika Siasa ni nani at present anakulikana kwa jina la Wassir? Unaposema kuwa watoto wa Wassira kama kweli one in madau na mwanaharakati wa Siasa unadhani ni nani atadhaniwa anamaanishwa?
Nakubali kuwa Waziri Wassira hakupaswa kuchukizwa na hio habari sababu mwisho wa siku sio kwamba hao watoto ni wa mbali, ni watoto wa karibu na hata wanapaswa kumuita yeye baba yao. Wassira ana mapungufu yake, lakini haina maana kuwa he is the one to take all the blame katika huu mkanganyiko. Watoto wana haki ya kulaumiwa asmuchas wanahabari.
Kumbe sio Steven Wassira.