Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

Dah!! Ona Sasa mwanafunzi wa form 4 anashindwa kutofautisha Kati ya maize na beans [emoji848]
 
Na ndo hapo tunakwama
Maybe sio culture yetu
Lakini nchi za wenzetu wanafanya sana hence utamaduni unarithishwa from generations to generations
 
Kiswahili shule Ibaki kama somo level zote nursery,primary ,sekondary, vyuo vya kati na vyuo vikuu, kifundishwe vyombo habari tv, radio kila mahali tanzania ka lugha ya taifa ndio uzalendo. Lakn masomo mengine nje ya kiswahili yafundishwe kwa kingereza english. Mtaala ubadili kiswahili kifutwe kwenye maarifa ya jamii(social science) na sayansi asilia(natural science) kiswahili kiftwe kwa sayansi matumizi, tehama, hesabu zote zifundishe kwa english
 
Wazo zuri
 
Nadhani mtaala wa kufundisha kingereza upo na kiswahili upo n kuamua tu shule zianze kufundisha kingereza. Kuna shule baadhi za serikali zinafundisha kwa kingereza.
Watanzania wameridhika na huu mfumo vinginevyo ungeshafutwa kitambo sana.
 
Hizo shule za serikali zinazofundisha kwa kingereza ni zipi mkuu?
 
Labda yeye mwenzetu ana pesa za kuwasomesha watoto wake English medium
Ila English medium zipo hadi za laki 9 hata chini ya hapo....ni mind tu tumeziset kwamba English medium ni ghali, zishakua nyingi nyingine zinawezekanika unajikuna mkono unapofika
 
Elimu bora ni ile inayozaa maarifa bora bila kujali lugha iliyotumika.
 
Swala la masoma kwa shule zetu ni mzigo kwa watoto madaftali wanayobeba ni mzigo zamani yalikua masomo hayazidi saba..au 8 leo mh
 
Ila English medium zipo hadi za laki 9 hata chini ya hapo....ni mind tu tumeziset kwamba English medium ni ghali, zishakua nyingi nyingine zinawezekanika unajikuna mkono unapofika
Hiyo laki 9 bado hujajikimu na maisha,Yani hapo mfumo ubadilike tu Itakua rahisi Sana hata kwa ambao vipato vyetu ni vidogo
 
Hili ndio wengi hawajui. Mm mwenyewe nimejua kimombo sababu nyumbani wazazi walikua hawaongei kiswahili. Ukiongea kiswahili hakujibu chochote na yeye anakutuma kwa kimombo. Japo nilisoma kayumba. Hadi TV ilikua marufuku kuangalia vipindi vya kiswahili, hadi leo mm huwezi ukanikuta nafatilia vipindi au habari za kiswahili
 
Kwenye kuandika je,walikufundisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…