Omba upate bahati na huku ukifanya kazi kujikwamuahabari wadau.
natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.
mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu hatawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia ghorofa lisidondoke na kuwafukia?
watu badala ya kuongez nguvu na kushirikiana haraka kutoa vifusi. watu wanaleta story za maombi .
Faith kills intelligence. Look at "third world countries ".
Kumekuchaaa!!
Kwahiyo hapo unampinga MUNGU au unatupinga sisi ambao tumaini letu ni kwa BWANA YESU KRISTO?
Kweny mambo ya dunia ukimtegenea Mungu umekwisha.habari wadau.
natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.
mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia ghorofa lisidondoke na kuwafukia?
watu badala ya kuongeza nguvu na kushirikiana haraka kutoa vifusi. watu wanaleta story za Mungu na maombi .