Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
habari wadau.

natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.

mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia ghorofa lisidondoke na kuwafukia?

watu badala ya kuongeza nguvu na kushirikiana haraka kutoa vifusi. watu wanaleta story za Mungu na maombi .
 
habari wadau.

natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.

mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu hatawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia ghorofa lisidondoke na kuwafukia?

watu badala ya kuongez nguvu na kushirikiana haraka kutoa vifusi. watu wanaleta story za maombi .
Omba upate bahati na huku ukifanya kazi kujikwamua
 
Kwahiyo hapo unampinga MUNGU au unatupinga sisi ambao tumaini letu ni kwa BWANA YESU KRISTO?
 
Kwahiyo hapo unampinga MUNGU au unatupinga sisi ambao tumaini letu ni kwa BWANA YESU KRISTO?

Bwana Yesu kristo alikuwa wapi kuzuia jengo lisidondokee Binadamu wanaomuabudu ?
 
Mungu ni mvumilivu sana, pamoja na maneno ya kashfa na matusi anayopewa na viumbe wanadamu, bado anatuvumilia, kwa kutupa muda wa kujitafakari na kutubu..........
 
Maombi sio kwamba ndio mwisho.
Ila mleta uzi haujafika mahali ambapo ni mwisho wa jitihada zako ukabaki na option moja tu ya maombi.
Labda kama sijakuelewa ila naona kama una "undermine" maombi.
Maombi yanafanyika pamoja na jitihada zingine ukiamini kabisa ulichoomba unakipokea pia kwa kushiriki kufanya jithada kinachowezekana.
 
habari wadau.

natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.

mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia ghorofa lisidondoke na kuwafukia?

watu badala ya kuongeza nguvu na kushirikiana haraka kutoa vifusi. watu wanaleta story za Mungu na maombi .
Kweny mambo ya dunia ukimtegenea Mungu umekwisha.
Abaki kuwa msaada wa kiroho tu
 
Unakuta katoto kanapasua sala ili kafaulu mtihani na juhudi yake ni ndogo. Eti unamuachia Mungu, ni Mungu wa aina gani unamuachia matatizo yako? Nina mashaka na Mungu wa Israel!! Sema neno moja tu kwa mizimu yako na uchape kazi.
 
Back
Top Bottom