Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

Ndiyo maana unakuta wanaume wengine wajinga wanaua watoto wa kambo. Roma na Snura waliimba K ni K. Achana na nguvu ya K wakati Abdallah amechachamaa hasa kwenu vijana.
Kwa hao vijana, mimi ni mtu mzima sasa. K kama inavyitwa haiwezi kunipagawisha, nimezikimbia nyingi sana mkuu.
 
Ni kweli watoto wanabadilisha maisha yetu sana, japo kuna baadhi ya Me hawapendi watoto kabisa.

Aaliyyah mimi sina story kama story ila ni kweli watoto wanafanya tubadilike kwa mengi, na hivi tunawapenda..daah, binafsi kuishi mbali nao siwezi kabisa.
Sahihi,kuishi mbali na watoto yahitaji ujasiri mkuu
 
Nawapa kongole wanaoweza, purpose ya kuwa duniani na kupata watoto ni uone wanavyokuwa na kuwa sehemu ya malezi yao...imagine sasa mama yupo arusha watoto wapo mwanza and she's very comfortable.
Hapana hapana, usingizi utagoma aisee
 
Kwa hao vijana, mimi ni mtu mzima sasa. K kama inavyitwa haiwezi kunipagawisha, nimezikimbia nyingi sana mkuu.
Hapo sawa na ndiyo maana unaambiwa kama mwanamke unampenda sana, usimuoe. Kwani mtoto kwa kawaida anakuwa kati kati ya wazazi wawili. Kabla ya mtoto mnakuwa mmegusana, mnapopata mtoto anakaa kati yenu. Si kwa wanaume tu, hata kwa wanawake sometimes. Kuna Mifano ya hivyo mingi hata members wa JF ambao mabinti hawaelewani na mama zao kwa kuwaonea wivu walivyo bond na baba zao.
 
Usiruhusu mtoto akae kati yenu, mtoto anakaa pembeni. Kuna kanuni mkuu inabidi uziishi na uhakikishe mke anaziishi ili mambo yaende vizuri, ukipata mke mkaidi hapo ndio changamoto.
 
Kwa wenzetu wengi ni shida tupu. Ukimpata mnayeweza kwendana naye ni bahati. Ubishi na mashindano ndiyo kwao hasa akiwa economically stable
 
niponipo kwanza nasoma plate numberz

kuna shida kwani?

Screenshot_20250111-234738_Instagram Lite.jpg
 
Nimekua ova protective kwa watoto yaani kila stage ya makuzi yao moyo unakaa juujuu nimeamini ule msemo wa mama yangu alisema kua uyaone once ukishaitwa mama ni hekaheka mpk siku unayoingia kaburini...
 
Hawa watoto wamenibadili tabia nashukuru Mungu.
Picha liko hivi nilikua na tabia mbaya zooote kasoro umalaya..... Safari kila siku madili yanayofaa na yasiyofaa ndio yalikuwa mahali pake hapa,,, wanaume sikuwa nawawzia sana nikaja kumpata huyu baba l nilimsumbua sana akaniambia utatulia tu labda sio Mimi!! Nikapata ujauzito lakini sikuwa na dalili yoyote na sikuwahi kutapika Wala kuumwa!!!!!!
Sasa ikatokea nikapewa Dili la kumpeleleza tapeli mmoja nikapewa details kwa muda huo alikua geita alitapeli madini kwa wabongo huko Kongo mi kazi yangu kumuweka kwenye target mengine wanamaliza wenyewe. Basi safari mpaka geita na mimba yangu nisiyoijua nilikaa pale kama wiki nikajua alipo kwenye hoteli aliyopo na mimi nikaenda kuchukua chumba mule nikaweka sawa mawasiliano kazi yao waje kumaliza wenyewe.
Sitasahau ilikua siku ya jumapili saa 7 mchana Niko namseduce tapeli tukiwa tumekaa kwenye kaunta ya hiyo hoteli police waliingia kwa kuruka kuna walioruka juu ya paa wakaingia, walioruka geti wakaingia tukazingirwa wote pale..... Tapeli alikua anaijfanya hajui kiswahili anaongea french na English kwa tabu!!! Lakini baada ya kuzingirwa pale akajifanya m mbishi akapigwa ya mguu pale pale nilisikia iiiiii whagoshya mayo Nene mpka police walicheka.
Wote tulikamatwa kwa mahojiano na nikiwa police ndo nilijua nina mimba maana kule nilianza kusikia harufu mbalimbali nilivyotoka hapo nilienda hospital nikahakiki.
Tapeli alisaidiwa atoke na aliowatapeli na alivyotoka walimshughulikia akiwa uraiani.
Nilivyojua nina ujauzito nilikosa raha kabisa niliwaza maisha yataendaje???! Kumwambia baba watoto alifurahi sana mimba haikunifanya nitulie na niligoma kwenda klinic sikuhudhuria hata mara moja na mimba haikuwahi kunisumbua na sikuipenda niliona kama naharibu maisha yangu...... Ilipofika miezi 8 nilitulia kidogo baba l ananilazimisha niende clinic staki kitumbo kilikua na muundo kama papai nimekaa kama wiki tatu siku hiyo nikaamka sijielewi nasikia napigwa shoti ya umeme mwili mzima nikatoka nikaenda kunywa supu kumbuka hapo nimepanga lakini sipiki ndani nilikuwa silali hiyo nyumba nilipngia panya na mende.... Nafika hapo hoteli nakumbuka niliagiza supu ya samaki. Nilivyoanza kunywa ule mchuzi nilipigwa na shoti Kali niliruka nivunja bakuli samaki tupa kule Kuna mama mmoja akanifata akaniambia una uchungu wewe twende hospitali.... Sikujiandaa kwa lolote nikampigia simu mama angu mdogo akaja akanichamba kwanza akaenda kunifungia nguo kanga na baadhi tulinunua!!! Kufika hospitali kasheshe likaanza nilichambwa leba wakanikataa sina kadi huku na huku nikamuita nesi nikamwambia hela ipo nizalishe akamfata daktari pale nikawapiga hela za kutosha nilishindwa kujifungua kawaida njia ilikua haifunguki nikafanyiwa operation saa moja kamili January 2014 nikapata watoto mapacha aisee mwanzo nilivyowaona niliogopa nililia siku amini nikapata Hali flani hivii siwezi kueleza baba l alifurahi sana......
Nikaanza kuwaza sasa namuuliza baba l tunafaanyaje sasa .
Maisha yalibadilika nikaanza kutulia na ilibidi tuchange hela tukanunua nyumba weka fanicha maisha yakaanza full raha mahaba ya baba na watoto tabia mbaya nikapunguza japo pombe sijaacha!!!
Sasa hivi mimi ni mama nilishaongeza wengine Mungu anajua kukomesha sisi ambao hatujatulia akanipa mapacha watatu full kulea yani ni mama alietulia nafanya kazi Kuna muda siamini.
Baba l huwa ananiambia nilikwambia utatulia tu!.
 
hlf ukute wao hawana habari na sio ajabu ukute ndo kwaanza wanakulaumu sana huko. that's life men. Live to its fullest.
Ni kweli Mkuu, japo mara nyingi mambo hubadirika mara baada ya watoto kuanza kujazwa sumu na Mama zao.

Ila kwasasa, watoto wangu wananipenda kuliko Mama yao.

Mama yao anaweza kusafiri wiki moja, na wakaona kawaida lakini Mimi nikisafiri Siku mbili tu nitapigiwa simu na video calls Kila Siku na kuniuliza narudi lini
 
Hawa watoto wamenibadili tabia nashukuru Mungu.
Picha liko hivi nilikua na tabia mbaya zooote kasoro umalaya..... Safari kila siku madili yanayofaa na yasiyofaa ndio yalikuwa mahali pake hapa,,, wanaume sikuwa nawawzia sana nikaja kumpata huyu baba l nilimsumbua sana akaniambia utatulia tu labda sio Mimi!! Nikapata ujauzito lakini sikuwa na dalili yoyote na sikuwahi kutapika Wala kuumwa!!!!!!
Sasa ikatokea nikapewa Dili la kumpeleleza tapeli mmoja nikapewa details kwa muda huo alikua geita alitapeli madini kwa wabongo huko Kongo mi kazi yangu kumuweka kwenye target mengine wanamaliza wenyewe. Basi safari mpaka geita na mimba yangu nisiyoijua nilikaa pale kama wiki nikajua alipo kwenye hoteli aliyopo na mimi nikaenda kuchukua chumba mule nikaweka sawa mawasiliano kazi yao waje kumaliza wenyewe.
Sitasahau ilikua siku ya jumapili saa 7 mchana Niko namseduce tapeli tukiwa tumekaa kwenye kaunta ya hiyo hoteli police waliingia kwa kuruka kuna walioruka juu ya paa wakaingia, walioruka geti wakaingia tukazingirwa wote pale..... Tapeli alikua anaijfanya hajui kiswahili anaongea french na English kwa tabu!!! Lakini baada ya kuzingirwa pale akajifanya m mbishi akapigwa ya mguu pale pale nilisikia iiiiii whagoshya mayo Nene mpka police walicheka.
Wote tulikamatwa kwa mahojiano na nikiwa police ndo nilijua nina mimba maana kule nilianza kusikia harufu mbalimbali nilivyotoka hapo nilienda hospital nikahakiki.
Tapeli alisaidiwa atoke na aliowatapeli na alivyotoka walimshughulikia akiwa uraiani.
Nilivyojua nina ujauzito nilikosa raha kabisa niliwaza maisha yataendaje???! Kumwambia baba watoto alifurahi sana mimba haikunifanya nitulie na niligoma kwenda klinic sikuhudhuria hata mara moja na mimba haikuwahi kunisumbua na sikuipenda niliona kama naharibu maisha yangu...... Ilipofika miezi 8 nilitulia kidogo baba l ananilazimisha niende clinic staki kitumbo kilikua na muundo kama papai nimekaa kama wiki tatu siku hiyo nikaamka sijielewi nasikia napigwa shoti ya umeme mwili mzima nikatoka nikaenda kunywa supu kumbuka hapo nimepanga lakini sipiki ndani nilikuwa silali hiyo nyumba nilipngia panya na mende.... Nafika hapo hoteli nakumbuka niliagiza supu ya samaki. Nilivyoanza kunywa ule mchuzi nilipigwa na shoti Kali niliruka nivunja bakuli samaki tupa kule Kuna mama mmoja akanifata akaniambia una uchungu wewe twende hospitali.... Sikujiandaa kwa lolote nikampigia simu mama angu mdogo akaja akanichamba kwanza akaenda kunifungia nguo kanga na baadhi tulinunua!!! Kufika hospitali kasheshe likaanza nilichambwa leba wakanikataa sina kadi huku na huku nikamuita nesi nikamwambia hela ipo nizalishe akamfata daktari pale nikawapiga hela za kutosha nilishindwa kujifungua kawaida njia ilikua haifunguki nikafanyiwa operation saa moja kamili January 2014 nikapata watoto mapacha aisee mwanzo nilivyowaona niliogopa nililia siku amini nikapata Hali flani hivii siwezi kueleza baba l alifurahi sana......
Nikaanza kuwaza sasa namuuliza baba l tunafaanyaje sasa .
Maisha yalibadilika nikaanza kutulia na ilibidi tuchange hela tukanunua nyumba weka fanicha maisha yakaanza full raha mahaba ya baba na watoto tabia mbaya nikapunguza japo pombe sijaacha!!!
Sasa hivi mimi ni mama nilishaongeza wengine Mungu anajua kukomesha sisi ambao hatujatulia akanipa mapacha watatu full kulea yani ni mama alietulia nafanya kazi Kuna muda siamini.
Baba l huwa ananiambia nilikwambia utatulia tu!.
Ulikua sana mafia ehee??? Hapo kwenye kupeleleza hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulikuwa mafia girl.

Hongera kwa kurudi katika mstari na maisha kuwa Bora na kuenjoy na familia. wengine wanaharibikiwa huko huko kwenye maisha ya ubandidu.
 
Nd

Ndoto yangu ilikua niwe jambazi mkubwa duniani nikakosa connection!!! Vp unaweza kunisaidis
 
Back
Top Bottom