Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

Ulikua sana mafia ehee??? Hapo kwenye kupeleleza hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikua karembo sana so jamaa asingepindua mi kazi yangu ilikua kutoka taarifa na kuhakikisha upatikanaji ni WA uhakika. Hata hivyo ndoto yangu ilikua kuwa jambazi ikafeli
 
Tuanzie hapa kwanza, wazazi wetu walitukosea sana ila je, wewe uliambiwa na mama yako amekuzaa leba au amekununua kwenye ndege?
 
Tuanzie hapa kwanza, wazazi wetu walitukosea sana ila je, wewe uliambiwa na mama yako amekuzaa leba au amekununua kwenye ndege?
๐Ÿ˜‚Daah!! Umenikumbusha habari za kuambiwa " mama kanunua mtoto".

Binafsi sio mama lakini watoto wa ndugu zangu nimelea Lea ( yaani kukaa nao kwa muda kadhaa).

Katika kukaa nao nikagundua kumbe ulezi sio tu kuwapikia watoto, kuwafulia kama ambavyo nilikuwa nafikiriaga, kumbe ulezi unaenda mbali zaidi Hadi katika uchunguzi wa kitabia wa watoto. Lazima mzazi uwe mchunguzi wa tabia za watoto wako, ufatilie mienendo Yao ya Kila siku, kuanzia marafiki zake shuleni, Mtaani n.k.

Mpe mtoto nafasi ya kujieleza na kupima mambo, weka meza ya majadiliano nae / nao, pima uwezo wao wa kufikiri, isiwe ni amri tu kuanzia asubuhi Hadi jioni.

Kwahiyo nimejifunza baadhi ya mambo kutokana na kukaa nao kwa hizo nyakati.

Sio mpigaji wa watoto Kabsaa ila wakiniboa ntawafokea hataree!! Hilo najitahidi nibadilishe ili nikijaaliwa wakwangu nisifoke sanaa.
 
Hongera sana
 
Ivi mwanamke anakaa mda gn ndoaisi dalili kwamb anamimba
 
So true, kuna push flani inapatikana especially wewe ndo msaada pekee kwa watoto wako. Alaf kuna fulfilment flani unaipata. Sina experience ila nahisi hii ndo inasababisha watu kubadilika
 
Hii chorus ya "inaendelea" itakuja kusababisha mtu apigwe bakora
 
Mimi mtoto wangu wa kwanza amenibadilisha nisiwe napuyanga kwenye mitandao ya kijamii, yaani hata kushika simu najionea uvivu nimepunguza kwa kiasi kikubwa.
Hongera wii ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Msalimie auntie yangu mshunu ๐Ÿ˜˜
 
Nimeipenda hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ