Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Habari ndugu zangu

Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.

Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua ni wanae.

Sasa roho inanisuta watoto wanafanana na Mimi Bora wasinge fanana aisee mpaka njia nimeacha kupita.

Mnanishauri nifanyaje? Aisee nimebadili njia.
 
Umekosa, omba msamaha kote ulikokosea.. mengine yatajipanga...
 
Mimba huwa hatukatai as far ni baba rijali na ulisha tembea naye.

Kataa matokeo siyo usichokiona. Unaweza kataa usichokiona matokeo yake leo unaumbuka. But Ukikataa baada ya kuona ni kunawa mikono na nafsi itakuwa huru zaidi.
 
Back
Top Bottom