Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Nenda kwenye nyumba za ibada ukatubu huenda kuna matukio uliyafanya huko nyumba hivyo umejifunga, au kwenye ukoo wenu kuna maagano yamewekwa.
asante mkuu kwa ushauri wako
 
umemaliza kila kitu,tutakifanyia kazi mkuu[emoji120]
 
Hana mke anatia mimba anaacha nahisi tatizo linaanzia hapa aache uhuni.
sidhani kama hicho ndio chanzo mkuu,mbona Diamond ana watoto zaidi ya wa5 na ni muhuni kweli kweli ila kawapata watoto bila shida yoyote
 
hili nalo linawezekana kabisa mkuu
 
asante mkuu,nawajibika kwa kila kitu kwa mama pamoja na watoto hadi pale Mungu anapowachukua
 
Utakuwa unasumbuliwa na agano...

Kuna shida katika ukoo yaweza kuwa upande wa mama au baba...
umeniwahi aisee. nilitaka nigusie jambo hili.

maagano ya kiukoo yapo very active ktk baadhi ya familia, ni vile tu baadhi yetu huwa tunapuuza kwa kuwa tunakutana kimjini mjini.

yapo maagano ya laana za umasikini, madeni, maradhi nk.

yaani unaweza ukashangaa kuna mwanamke/mwanaume baada tu ya kufunganae pingu za maisha, umasikini wa kipato unaanza kupiga hodi kwenye maisha yako.

hatari sana haya mambo, ndio maana mababu zetu walikuwa wanawachagulia vijana wao familia za kuoa/kuolewa.

najua kuna wapuuzi wafia dini hizi za kuletwa na wageni, watasema hakuna kitu kama hicho.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…