Watoto wangu wote hufariki baada ya kuzaliwa au mimba kuharibika

Aisee!
Pole sana mkuu..Nakuombea kwa Mungu akuepushie kadhia hiyo..

Ila jitahidi sana kuomba na
Ikiwezekana uoe ili uzae kwa utaratibu maalum..hata ukimlilia Mungu atasikia na atajibu maana watoto hawatokani na matokeo ya uzinzi.

Mungu ni mwaminifu.
 
nimeshakamilisha taratibu za awali mkuu bado kuna ubwabwa na mingineyo
 
Asante mkuu kwa ushauri wa kitaalamu
 
Asante mkuu kwa ushauri wa kitaalamu na kiimani nitaufanyia kazi naamini kupitia michango yenu mwakani nitaitwa baba
 
Pole sana ndugu mungu atakujalia siku moja …… ushauri wangu nenda kapimwe mimi nazani kuna possibility kubwa huko na ugonjwa unaita sickle cell anemia. Again pole sana
nimejaribu kupima sina huo ugonjwa mkuu.
 
Mwakani Mungu akijaalia nitaingia kitanzini mkuu
 
Kama kuku kile kunundu kinachoota juu ya maishio ya nyuma ya mgongo?
 
tayari nimeshawaeleza wazee na wife ameshapewa matibabu bado mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…