Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Though simpendi Yesu Wala Muhammad but hao jamaa wapo kwenye top 2 huwezi kuwakosa hapo namba 3 ni Michael Jackson namba 4 ni Adolf Hitler

Halafu hizo namba nyingine watagawana hao wengine
Yes tunataka wale watu ni maarufu , hata ukikutana na mbibi ukimuuliza anamjua,

Yesu

Muhammad

MJ

Osama Bin ladenπŸ˜‚
 
Orodha ibakie hivyohivyo.Asitokee kiumbe akaitikisa.
 
Though simpendi Yesu Wala Muhammad but hao jamaa wapo kwenye top 2 huwezi kuwakosa hapo namba 3 ni Michael Jackson namba 4 ni Adolf Hitler

Halafu hizo namba nyingine watagawana hao wengine
Kinachomkosesha point Mohamad yeye anajulikana kwenye nchi za kiislamu na ambapo angalao dini ya kiislamu imefika. Lakini ukienda sehemu kama jamii za wafugaji ni ngumu sana kukuta watu wanamjua. Kwahiyo ni maarufu kwa wengi lakini kwenye eneo. Embu siku mtaani kwako ukiwaona watoto wanacheza waulize kati ya mohamad na ronaldo au messi wanamjua nani
 
Kuwepo walikuwepo ila ni watu wa kawaida tu kama kina Mwamposa , sema zilitiwa chumvi na kufanyiwa promo za kutosha , simulizi zinazofanana na mtu kama yesu zilikuwepo , toka enzi na enzi huko misri , India na ugiriki ya kale kama hadithi tu
Ni kama alivyo mwamposa tu hao ndio waasisi wa ubeshi upigaji utapeli wa kiimani hao wameiga Toka Kwa kina mussa ndio maana Leo hii usishangae kuona mtu kama tony kapola anaibuka anasema kwamba Amewahi kupuliza mtungi wa gesi na ukajaa gesi falsafa ni ile ile kama aliyoitumia mussa kusema alipiga fimbo katika bahari

Falsafa ni ile ile kama alivyosema Muhammad kwamba Amewahi kubadilisha usiku kuwa mchana Amewahi kuwafanya ngamia wanaongea. πŸ˜„πŸ˜„

Falsafa ni ile ile kama wanavyosena yesu amemfufua Razalo ,

So Hao kina mussa Muhammad yesu and the likes ndio chanzo Cha utapeli
 
Muhammad Mzee tazama ule umati unao kwenda Makkah Kila mwaka watu wana risk maisha Yao wanakopa ili mradi wafike Makkah influence yake simichezo propaganda alivyoifanya ni nzito halafu hao Messi na cr7 after 200 yrz watu watakuwa wamesha wasahau lakini haitokuwa hivyo Kwa muddy Kila siku watu wana muabudu na ulimtukana tu au kukojolea kitabu chake nadhani balaa utalijua 😁😁😁😁

So Kwa mantiki hiyo Muhammad ni famous na ana influence kubwa kuliko hao uliowataja
 
Wengine wanasema waasisi wa kubet ni Mungu na Shetani. Walimpiga matukio Ayubu halafu wakabet jamaa atakua loyal kwa nani kati yao.
 
Ila watu mna fitina aisee! Yaani Mwamedi apigwe mpaka na akina Tupac?
Orodha sio rasmi. Inajadilika, inarejebishika. Uenda wote wawili tunaweza kuwa sawa kulingana na vigezo tutakavyoamua kuvitumia
 
HAkuna kafir asiemjua Muhammad hata uko utotoe ndani ndani wanamjua

Punguza ujinga, makafir wote mnafundishwa kanisan kama Muhammad aling'atwa tako na nguruwe na mbakaj uko makanisan kwenu toka mkiwa watoto

Hakuna kafir asiemjua Muhammad na hakuna kobaz asiemjua Yesu


Punguza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…