Watu 10 Waliopotea na kutoonekana tena Duniani

Mk
Point kabisa. Ndugu wa Kassim Hanga kule Zanzibar hadi kesho wanaulizia lilipo kaburi lake lakini ndio hivyo tena wanaishia kuzungushwa.
Mkuu Habib Hanga aliuawa huko zanzibar pembezoni mwa airport!! Nilisoma habari zake kwa kina tena zikiambatana na baadhi ya picha!! Mchonga naye hakuwa nyuma kwa kufagia njia!
 
Nice to hear that bro.

Ila kiongozi hawa viumbe si zipo sign zao kama ukitaka kujua kuwa huyu ni binadam au sio bro...?

Na pia, naskia kuwa hawawezi kuna kwa muda mref sana wakawawakiwa kwenye umbo la binadam mkuu. Au...?
 
Nadhani ndio maana wanapoteaga ghafla....aka "watoto wa dawa"
 
Lakin ukilinganisha kama kunautofauti wa kupotea kati ya hao na hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…