Watu 10 Waliopotea na kutoonekana tena Duniani

Ila wengi ni wahalifu mbona...

Kwa maana malipo ni hapa hapa duniani...


Cc: mahondaw
 
Nakubaliana nawewe. Tunaishi na baadhi ya watu wakijifanya binaadamu ila si binaadamu. Ni kweli kabisa ulichoandika
 
D.B Cooper hakupatikana ila miaka ya karibuni kina pesa nyingi ilipatikana ikiwa imechimbiwa chini na baadhi ya noti zikiwa zimeharibika inaaminika ni za cooper
 
D.B Cooper haku6patikana ila miaka ya karibuni kina pesa nyingi ilipatikana ikiwa imechimbiwa chini na baadhi ya noti zikiwa zimeharibika inaaminika ni za cooper
Inaaminika vipi wakati pesa za cooper serial number zake zilirekodiwa. DB. Cooper never existed he is a fictional character
 
Resourceful information,big up!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…