Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kuzalishwa washangaa!Cha ajabu amezalishwa.
Dada simpendi kwa roho yangu yote.
Watu wengine kuzalisha mwanamke hutumia fursa hiyo kama kukomoa ama kutweza utu.
Tendo la mapenzi lina sura mbili, kufurahisha ama kukomoa na kudhalilisha.