Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kuzalishwa washangaa!Cha ajabu amezalishwa.
Dada simpendi kwa roho yangu yote.
It is not your duty to judge a fellow being..!Ajira ya uhalifu?
Ya kielektroniki 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na kofia
Usisahau na kofia pia iko kwenye list ya vifaa vinavyochunguzwa.polisi wako makini sana.. wamesema funguo, kalamu, miwani hadi saa navyo vinachunguzwa..
pigeni kazi polisi,
wale wanaosema polisi hawajui kufanya investigation wanaduwaa sasa
We huwajui polisi wewe. Kawaulize Makomandoo ilikuwaje wakasign document bila kuisoma. Sasa hao wala Chipsi wala haihitaji nguvu kubwa kama makomandoo. Ni vijana wa depo tu wanapewa kazi baada ya dakika tano wanasema mpaka walivyotungishwa mimba.Kashasema hata wauliwe hawasemi video wamepataje nayeye kakunja nne US.
Shetani la mguu mmoja limekunja nne
Baada ya kuwsunguza wenzie👍
Mange alikuwa zamani sasa hivi anatumia nguvu nyingi yeye angendelea na udaku na skendo za mastaa. Mambo mengine ni udhalilishaji.Tatizo akili zake haziko sawa...si uliona ule waraka wake?yaani hata tone la kuonyesha ameguswa na kilichotokea .nilichoka kabisa
Kadownload app ulipie buku😀Aisee hivi connection ilishindikana kabisa!??
Nifanyieni wepesi PM wakuu.
Dah!Kiumbe katili kuliko wote Duniani ni Binadamu na kiumbe mwenye huruma kuliko Wote Duniani ni binadamu
Mtu anaeweza kuchinja Mtoto au Mkewe au kumtilia sumu Mumewe atashindwa kurekodi tu tukio la Mtu maarufu tu asiemhusu?
Hata hao mastaa inabidi achuje umbea,anakurupuka Yule!Kuna Dada kazaa na Moses Iyobo,we alicharuka baada ya Mange kudai Mose katelekeza mtoto!dada kakwambia weeeee usimletee balaa mwanangu akaja kosa matunzo,au nikuletee miamala anayohudumiwa?niakasema Bora huyu kamshuashuaMange alikuwa zamani sasa hivi anatumia nguvu nyingi yeye angendelea na udaku na skendo za mastaa. Mambo mengine ni udhalilishaji.
Yaani mgunduzi wa pesa alifanya ugunduzi wa milele,Pesa mwana haramu.
Watu wanaishi kwa kuharibu imeji za watu katika jamii.
Tunabishana nini,bosi wao ndio kasema ulichoquote.We huwajui polisi wewe. Kawaulize Makomandoo ilikuwaje wakasign document bila kuisoma. Sasa hao wala Chipsi wala haihitaji nguvu kubwa kama makomandoo. Ni vijana wa depo tu wanapewa kazi baada ya dakika tano wanasema mpaka walivyotungishwa mimba.
Joannah:Hata hao mastaa inabidi achuje umbea,anakurupuka Yule!Kuna Dada kazaa na Moses Iyobo,we alicharuka baada ya Mange kudai Mose katelekeza mtoto!dada kakwambia weeeee usimletee balaa mwanangu akaja kosa matunzo,au nikuletee miamala anayohudumiwa?niakasema Bora huyu kamshuashua
Mimi pia nimeelezea tu. Wala sijakutuhumuTunabishana nini,bosi wao ndio kasema ulichoquote.
Unaquote kitu hujaelewa?
Rudia reply yangu kulee☝️
Makongoro alipata usingizi kwa mama MangeKwani Mange Kimambi ana udugu na Makongoro Mahanga.