Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

Kuna walevi watakuja hapa kusema
Ngwengwe ni Nadharia za mzungu...

Yaani Mzungu Anabebeshwa Lawama,
Kuna mpuuzi juzi alisema eti chips ni chakula cha mzungu ili tukose nguvu za kiume.
[/QUOTE.chakula cha mzungu wapi wakati chipsi ni viazi vinavyolimwa mbeya
 
Wanawake husema Condom zinawaumiza, wengine zinawachubua, wengine zinawawasha, but tu mradi wagongwe Kavu kavu, wanaona wakitumia Condoms Utamu unapungua ..!

AIDS is really ...!
Ukiona mwanamke anasema condom zinamuumiza au kumchubua sijui kuwasha na huku wewe na yeye hamjuani hali zenu za afya…..hata usisubiri uvae nguo ndio ukimbie, kimbia ukiwa unazivaa mbele kwa mbele.
 
.
IMG_20240102_112017_197.jpg
IMG_20240109_111013.jpg
 
Kwa idadi ya Watanzania wote hiyo namba ni ndogo sana
By percent ya maambuzi kwa hiyo namba ni 0.0065%
When approximated in one decima place ni 0.0, mathematically that is equal to zero

Tunamshukuru mama kwa kupunguza na kuondoa ukimwi Tanzania.
Kuna chawa mmoja alisikika[emoji115]
 
Back
Top Bottom