fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Katika watu ambao ni ngumu kupata maradhi ni wanaumeHivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika watu ambao ni ngumu kupata maradhi ni wanaumeHivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.
bora nyeto mankama umevuka mwaka uko negative kama mimi mshukuru Mungu kisha upunguze speed na uongeze umakini UKIMWI upo
Alikuwa anaenda kukumaliza huyo, ulivyomstukia ndio kamaindidu!! umenikumbusha kisa kimoja,,kuna mdada nilikutana nae arusha nikampenda,tukaanza ukaribu flan,,sasa siku moja 2ukiwa bar moja pale SAKINA tunakula nyama na vinywaji,nikamshauri,kabla ya kujaamiana ni vizuri 2pime ili tuwe salama manake hatujuani,,,alinipa jibu la kibabe sana mkuu!!! aliniambia"kwani nimekutuma unitongoze!! si minyege yako iliyokusukuma,,,,kama huniamini achana na mimi"..then akasimama na kucha kinywaji chake alaf akaachia bonge la SONYO kama ASHURA wa BUZA!! alaf huyooooo!!!!!...meza ya jirani kulikuwa na jamaa wanakunywa wakaniuliza"aisee ni aje tena?""" sikuwajibu nami nikasimama na kusepa kwa fadhaa!!
Ningekuwa ni wewe majamaa ningewaambia ukwelidu!! umenikumbusha kisa kimoja,,kuna mdada nilikutana nae arusha nikampenda,tukaanza ukaribu flan,,sasa siku moja 2ukiwa bar moja pale SAKINA tunakula nyama na vinywaji,nikamshauri,kabla ya kujaamiana ni vizuri 2pime ili tuwe salama manake hatujuani,,,alinipa jibu la kibabe sana mkuu!!! aliniambia"kwani nimekutuma unitongoze!! si minyege yako iliyokusukuma,,,,kama huniamini achana na mimi"..then akasimama na kucha kinywaji chake alaf akaachia bonge la SONYO kama ASHURA wa BUZA!! alaf huyooooo!!!!!...meza ya jirani kulikuwa na jamaa wanakunywa wakaniuliza"aisee ni aje tena?""" sikuwajibu nami nikasimama na kusepa kwa fadhaa!!
umesema ukweli itakuwa kuna siasa imeingizwa hapo. hata mm naamini wenye ngoma ni wengi sana kulinganisha na hiyo idadi inayotajwa.Siwezi amini hiyo takwimu ,jinsi Kila mahali Madada poa wanauza na kununuana,wangesema angalau 30m ndio wamepima,tungepata Cha kufanya ,halafu hao 8 ukute ni mtu kapima mara mbili au tatu,Kwa kifupi hatuogopi ngoma
Idadi hiyo ni sawa na majimbo 3 ya uchaguziWaziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu 163,131 kati yao walingundulika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo.
Waziri Ummy amenukuliwa akisema “Kwa upande wa ugonjwa wa UKIMWI, Serikali iliendelea kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI ambapo katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) kulinganisha na Watu 6,930,758 mwaka 2022 (DHIS2 2023)”
“Kati ya Watu waliopima mwaka 2023, Watu 163,131 waligundulika kuwa na maambukizi ya VVU ukilinganisha na Watu 182,095 mwaka 2022 (DHIS2 2023)”
“Waliokuwa wanatumia dawa za kufubaza virusi vya VVU walikuwa 1,663,651 December 2023 kulinganisha na Watu 1,612,512 December 2022 (DHIS2023)”
“Mwaka 2023, Vifo vitokanavyo na UKIMWI vilikuwa 22,000 kulinganisha na vifo 29,000 mwaka 2022(Spectrum 2022)”