Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

Bali tufuate ushauri wa Mkumbo Kitilya !!! Halafu nani ataendeleza uwepo wa binadamu Duniani? Siungi Mkono wa hoja yako.

Kufanya kwa maana ya kuendeleza kizazi ni takwa la lazima kama ulizaliwa bila shida yoyote ama ulipata shida katika haraka za maisha hapa Duniani.
 
Sio kweli,wanawake ndio wagumu kuuliza labda awe dada poa/barmaid...
Ila hawa dada zetu wamtaa katika 10,atauliza mmoja "vipi unacondom"
Hamna bhana nyie ndio hampendi condom na mkivaa katikati mnavua.

Happy new year, MAWEED
 
Watu wanajiachia sana , hasa hawa wadada wa 2000 hawaogopi kabisa .
Uko sahihi,zinaa imekuwa nje nje sana now days,na hakuna anayejali ni kama vile hakuna anayejua kuna UKIMWI duniani,inasikitisha sana kukuta visichana kuanzia 20yrs navyo viko bize kusaka wanaume.Ukienda kwenye sehemu za starehe huko ndio balaa kabisa,watu wakishapiga pombe hakuna anayejiuliza mara mbili...
 
Hii kamba ngumu sana, mnooooo! Jiulize tu wewe binafsi, una wapenzi wangapi.

Utakaemsikia anakwambia anae mmoja, Mnase bonge moja la Kerub maana hawa ndio wanafki wenyewe. Ngwengwe iko wajomba
 
Uko sahihi,zinaa imekuwa nje nje sana now days,na hakuna anayejali ni kama vile hakuna anayejua kuna UKIMWI duniani,inasikitisha sana kukuta visichana kuanzia 20yrs navyo viko bize kusaka wanaume.Ukienda kwenye sehemu za starehe huko ndio balaa kabisa,watu wakishapiga pombe hakuna anayejiuliza mara mbili...
Sisi wa miaka ya nyuma kidgo , kulikua na mapambano ya kujikinga na ukimwi , ikiwa pamoja na vijarida, mabango na filamu za kutisha za mtu alie athirika tukajengewa hofu fulani iv.
 
Hii ni taarifa ya wizara ya afya ya leo.

Hiyo idadi ni waliopima tu.

Wakuu tupime tujue afya zetu na tuchukue tahadhari hali si hali

Sosi: Insta page ya Millard ayo
du!! umenikumbusha kisa kimoja,,kuna mdada nilikutana nae arusha nikampenda,tukaanza ukaribu flan,,sasa siku moja 2ukiwa bar moja pale SAKINA tunakula nyama na vinywaji,nikamshauri,kabla ya kujaamiana ni vizuri 2pime ili tuwe salama manake hatujuani,,,alinipa jibu la kibabe sana mkuu!!! aliniambia"kwani nimekutuma unitongoze!! si minyege yako iliyokusukuma,,,,kama huniamini achana na mimi"..then akasimama na kucha kinywaji chake alaf akaachia bonge la SONYO kama ASHURA wa BUZA!! alaf huyooooo!!!!!...meza ya jirani kulikuwa na jamaa wanakunywa wakaniuliza"aisee ni aje tena?""" sikuwajibu nami nikasimama na kusepa kwa fadhaa!!
 
Kuna walevi watakuja hapa kusema
Ngwengwe ni Nadharia za mzungu...

Yaani Mzungu Anabebeshwa Lawama,
Kuna mpuuzi juzi alisema eti chips ni chakula cha mzungu ili tukose nguvu za kiume.
Na ndio ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom