kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
hata hizo takwimu ujue sio halisi wanapunguza taharuki hawawezi kutaja idadi halisi.Hizi ripoti zinafanya nikose nia, sababu na vigezo vya kuchapa za nje. 8,145,576 walipima, 163,131 wakaonekana kuukwaa, that's 2% ni kubwa sana!
na kuna wale kina sisi hatupimi mpaka Wake zetu wawe wajawazito.
ukijumlisha hio hesabu ujue sio ngoma ya kitoto