bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Unasema?Tuliza mshono
Kuna walevi watakuja hapa kusema
Ngwengwe ni Nadharia za mzungu...
Yaani Mzungu Anabebeshwa Lawama,
Kuna mpuuzi juzi alisema eti chips ni chakula cha mzungu ili tukose nguvu za kiume.
[/QUOTE.chakula cha mzungu wapi wakati chipsi ni viazi vinavyolimwa mbeya
Ukiona mwanamke anasema condom zinamuumiza au kumchubua sijui kuwasha na huku wewe na yeye hamjuani hali zenu za afya…..hata usisubiri uvae nguo ndio ukimbie, kimbia ukiwa unazivaa mbele kwa mbele.Wanawake husema Condom zinawaumiza, wengine zinawachubua, wengine zinawawasha, but tu mradi wagongwe Kavu kavu, wanaona wakitumia Condoms Utamu unapungua ..!
AIDS is really ...!
Hivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.Watu wanajiachia sana , hasa hawa wadada wa 2000 hawaogopi kabisa .
Duh sio kwel kwangu , mpka nizini nimeshapima vyakutosha , ukimwi usikie tu kwa jirani .Hivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.
Wew siukapime upime na nani ebu acha ujinga😂😂Hii ni taarifa ya wizara ya afya ya leo.
Hiyo idadi ni waliopima tu.
Wakuu tupime tujue afya zetu na tuchukue tahadhari hali si hali
Sosi: Insta page ya Millard ayo
Wew ushaukwaa ukaona makali...waswahili mnashida gani 😂Kuna wajuba huwa wanajazana... "Aah ukimwi sahivi hauna makali" sasa subiri uukwae.