hata hizo takwimu ujue sio halisi wanapunguza taharuki hawawezi kutaja idadi halisi.Hizi ripoti zinafanya nikose nia, sababu na vigezo vya kuchapa za nje. 8,145,576 walipima, 163,131 wakaonekana kuukwaa, that's 2% ni kubwa sana!
Tena tumia mafutà ya mzeituni....Madaktari wanatudanganya sana. Nyeto mchawi ni mafuta mazuri tu. Usitumie soap.
Hata haitishi, sasa tishio ni ajali za barabarani
Hapa sioni hata mmoja anayesema punyeto ina madhara shenzy!!!
Hapa sioni hata mmoja anayesema punyeto ina madhara shenzy!!!
Hayo mafuta olive oil si ya kigaidi? Ndo yale yanazalishwa na mapalestina?Tena tumia mafutà ya mzeituni....
Sasa hapa ndo umeandika nini mzee, Fikiria japo kidogo kabla huja-reply sio lazima mimi niukwae ndo nijue suffering yake... bali naweza nikawa na mtu wa karibu ambae nitajionea kupitia yeye. Fullish.Wew ushaukwaa ukaona makali...waswahili mnashida gani 😂
kwaiyo hz data za mchongo au?Mbona hiyo ni idadi ya kawilaya kamoja tu wakisema ukweli utaogopa hata kudindisha mkuyenge
Kwa sasa ukimwi sio tishio kivile, ilikuwa hivyo kabla ya dawa za kufubaza virusi hazijakuwepo na ilikuwa tishio pale ukimwi ulipokatisha maisha ya mtu ghafla lakni kwa sasa mtu anaenda 80yrs, na wapo wengi tuu wenye virus wenye umri huo wa 70 to 80, sasa mtu ataogopa ukimwi ili iweje? Kwa sasa karibia kila kaya kuna mwathirika kama sio baba na mama basi mtoto wao, chunguza.Ukiona mwanamke anasema condom zinamuumiza au kumchubua sijui kuwasha na huku wewe na yeye hamjuani hali zenu za afya…..hata usisubiri uvae nguo ndio ukimbie, kimbia ukiwa unazivaa mbele kwa mbele.
UKIMWI Ni Mchongo..Hii ni taarifa ya wizara ya afya ya leo.
Hiyo idadi ni waliopima tu.
Wakuu tupime tujue afya zetu na tuchukue tahadhari hali si hali
Sosi: Insta page ya Millard ayo
Washukuriwe sana wale wenye upendo wakishajijua wameukwaa ukiwatongoza wanaelewa fika kuwa kweli umempenda lakini wanakubania ili kukuepusha kwa huruma zao.Ukiona mwanamke anasema condom zinamuumiza au kumchubua sijui kuwasha na huku wewe na yeye hamjuani hali zenu za afya…..hata usisubiri uvae nguo ndio ukimbie, kimbia ukiwa unazivaa mbele kwa mbele.
Mkuu wewe unajua [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Vitoto vya 2000 hadi 2007 vinafanya umalaya hatari, tena na watu wazima kutosha kuwaita baba, afu vimejaa UTI sugu haisikii hata powersef
Hilo ni jibu sio swalikwaiyo hz data za mchongo au?
Sio kweli,wanawake ndio wagumu kuuliza labda awe dada poa/barmaid...Hivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.