Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

Hivi kuna watu ambao ni rahisi kupewa virusi kama wanaume? Nyie huwa hamjali mtu akiwa na virusi anaweza ambukiza hata wanaume 100.
Katika watu ambao ni ngumu kupata maradhi ni wanaume
 
Siwezi amini hiyo takwimu ,jinsi Kila mahali Madada poa wanauza na kununuana,wangesema angalau 30m ndio wamepima,tungepata Cha kufanya ,halafu hao 8 ukute ni mtu kapima mara mbili au tatu,Kwa kifupi hatuogopi ngoma
 
Alikuwa anaenda kukumaliza huyo, ulivyomstukia ndio kamaindi
 
Ningekuwa ni wewe majamaa ningewaambia ukweli

Ili kuepusha fadhaa😂😂
 
"...Hata haitishi, sasa tishio ni ajali za barabarani.."

Ukiona baby wako anaioengelea ngoma kwa kauli kama hizi🤔aisee kama ulivaa ndom moja jitahidi upate ya pili
 
Siwezi amini hiyo takwimu ,jinsi Kila mahali Madada poa wanauza na kununuana,wangesema angalau 30m ndio wamepima,tungepata Cha kufanya ,halafu hao 8 ukute ni mtu kapima mara mbili au tatu,Kwa kifupi hatuogopi ngoma
umesema ukweli itakuwa kuna siasa imeingizwa hapo. hata mm naamini wenye ngoma ni wengi sana kulinganisha na hiyo idadi inayotajwa.
 
Idadi hiyo ni sawa na majimbo 3 ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…