Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA
Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel
"Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu.
Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa ambapo watu 2 walipigwa risasi nilipokuwa niakula, sasa hivi ndani ya Israel kutakuwa hanna tena amani watu watakuwa wanafanya kama wao wanavyofanya Gaza kuuwa watu wasiokuwa na hatia.
View: https://x.com/suppressednws/status/1776822492859863182?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw