Watu 23 wa Israel wameuawa kufuatiwa kupigwa risasi na raia wawili wa Palestina

Muwe munasoma munaelewa kabla ya kupost, hivi hata namba unashindwa kuzisoma 200 unapita 300 elimu, elimu, elimu
 
Freedom fighters anauwa raia hovyo mtaani? Na ndiyo walivyokuwa wanafanya kina Che, Nyerere, na Mandela.
Yes Mandela amefanya hivyo sana tatizo watoto hamjui historia.

View: https://youtu.be/JtjTIS1NOJI?si=Y5DPj_ozfCfxt7D9
Hapo walikua wanalipua mabomu yaliua wazungu na raia weusi wasio na hatia. Kwenye freedom fighting lazima utumie violence kufikisha ujumbe. Mlidhani kina Mandela ni malaika? Hata kina Karume waliua watu zaidi ya elfu 50 huko zanzibar wasio na hatia kwenye mapinduzi.
 
Basi Israel wapo sahihi
 
Basi Israel wapo sahihi
Yaani Mandela alifanya ugaidi kama njia moja wapo ya ku protest. Naye aliua wasio na hatia kwahiyo kama Mandela mnamuitaga mpigania uhuru basi na Hamas nao ni wapigania uhuru wa palestina huru.

Ila kama hamas ni gaidi basi Mandela ni gaidi pia. Acheni unafiki

Kingine gaidi ni pale tu ukiwa kinyume na US. Mfano marekani ilimsupport Savimbi kuangusha serikali ya Angola ila hakuitwa gaidi ila pale freedom fighter akiwa againt maslahi ya US anaitwa gaidi mfano Castro, Che Guevara n.k
 
Magaidi wa kiislam hao. Call a spade a spade and not a big spoon 🥄
Oooh kwahiyo Kipindi Mandela analipua mabomu maghorofa huko Afrika Kusini alikua gaidi au mpigani uhuru? Unajua kuna watu hamjitambui kabisa?

USA ilimpa silaha Taliban ili apambane na Urusi mbona hawakuitwa magaidi? Ila Taliban walipojitawala wakaitwa magaidi.

Same to Savimbi alipewa silaha na USA akaitwa mpigania uhuru ila alipowageuka USA akaitwa muasi na gaidi!!

Na wewe naomba utupe definition ya gaidi ni nani? Au unasubiri USA ndio ikwambie?
 
Mungu wa wakristo upo wapi mbona wakristo wanauwawa? Mungu wa waislamu upo wapi mbona waislamu wanauwawa?
 
Gaidi ni nani? Hao ni freedom fighters kama tu TANU au ANC!! Acheni brainwashing za magharibi.
Mkuu makristo ya jf mengi malofa yaani makondoo cjui shuleni walienda soma nn
 
Mtungo inapendeza zaidi, ukichimama nchale, ukimung'unya nchale na ukikimbia nchale. Hahahaha......, team Israel mpooo..,..au mmejificha kwenye maandaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…