Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya.

Ajali hiyo imetokea baada ya lori la mizigo kufeli breki na kugonga magari mawili yaliyokuwa mbele yake daladala ya abiria na kirikuu (gari dogo la mizigo). Kufuatia mgongano huo, daladala hiyo iliingia korongoni na baadaye lori hilo liliangukia juu yake, na kusababisha vifo vya abiria waliokuwemo ndani.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa majeruhi tisa wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Teule ya Ifisi.

Azam TV


 
Kile kipande toka Meta hadi Mbalizi ni eneo la machinjio
kwanini? kuna shida gani ya road engineering?
RIP wapendwa.



No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Moyo wangu unavuja damu

Serkali inafanya ufisadi haijali kabisa watanzania


No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Back
Top Bottom