No Reforms No ElectionPabaya sana hapo...
Miaka ya zamani kuanzia Mafiat hadi Meta ndio palikuwa na "jini mnyonya damu", lakini miaka ya karibu kapiga kambi hicho kipande...
Serikali kila mwaka inakuja na mpango wa kuipanua hiyo barabara, mpango mwingine sijui kujenga nyingine mpya toka Inyala kupita Igawilo then Mbalizi, sasa hii mipango sijui ipo hai kiasi gani...
Ni hatari sanaKile kipande toka Meta hadi Mbalizi ni eneo la machinjio