The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
kwanini? kuna shida gani ya road engineering?Kile kipande toka Meta hadi Mbalizi ni eneo la machinjio
Moyo wangu unavuja damu
Serkali inafanya ufisadi haijali kabisa watanzania
kwani pakoje pale...ie topography ya pale ikojeMiaka yote apo Pana ajali Tena mbaya mlima iwambi umeondoa watu wengi sana lakini viongozi wanashindwa kutafuta utatuzi,
Hadi Tulia afie hapo ndipo wataelewa kuwa ,eneo Hilo ni Hatarishi kwa maisha ya binadamu;Kile kipande toka Meta hadi Mbalizi ni eneo la machinjio