Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

Huo Mlima wa Iwambi hadi pale Itende JKT Kuna kuwaga na ajali nyingi sana za barabara

Kuna haja hiyo barabara inayopanuliwa, Mkandarasi aambiwe aongeze speed ya kazi. Hopefully itasaidia kupunguza hizo ajali

Pole za dhati kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao na kwa wote walioumia katika tukio hilo.

Nomba Mwenyezi Mungu awape faraja, awaponye majeruhi, na awapumzishe marehemu mahali pema 😭😭
 
Kwenye ajali kama hizi,tusali ikitokea awepo mawaziri, wakuu wa mikoa,wabunge,au Chura kiziwi. Barabara ingejengwa haraka sana.
 
No Reforms No Election
 
Wameacha kuanza kujenga barabara ya mchepuko(bypass)kwa ajili ya malori ndo wajikite kwenye njia nne wanaleta utoto NO REFORMS NOELECTION
 
Mb wenu ana tamasha gani hapo
Au kuna jogging

Ova
 
Kuna huu uendeshaji wa madereva wa malori kutumia Neutral gear kwenye miteremko ili kuokoa wese ni hatari sana!

Cases za kushindwa kumudu magari yao na kusababisha ajali linachangiwa pia na hili halafu tunaita kufeli kwa breki.

Madereva wa Zambia wanaiita Neutral kuwa Zambian gear ni hatari.


What are the effects of driving in neutral gear?


Engine braking is eliminated. Vehicle speed downhill will increase quickly. Increased use of the footbrake can reduce its effectiveness. Steering response will be affected, particularly on bends and corners.9 Feb 2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…