Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Nachosema Abrahamic religion zote iwe ukristo, uislam na ukristo wote ulihusisha kuchinjana kwenye kuueneza.
Una akili sana wewe, tunataka watu kama wewe waliosoma na kuelewa ukweli kuliko kuamini upuuzi tu na kupigania dini za watu zisizo na maadili kwetu.
 
Ni kweli ukristo una amani na ndiyo ukaruhusu ndoa Za jinsia moja makanisani
Ujinga wenu kama huu, ndio unaowafanya kila wakati na kila mahali muuane wenyewe kwa wenyewe. Maana mnapenda sana uwongo kuliko ukweli, mnapenda sana hadaa kulijo weledi.

Mashoga hawafungishi ndoa Kanisani. Papa Francis katika kulifafanua hilo alisema kuwa ushoga ni dhambi, na Mungu hawezi kubariki dhambi. Hizo nchi ambazo Serikali zao zimeruhusu ndoa za jinsia moja, Kanisa lina tolerate na kuendelea kuwafundusha watu maana ya ndoa kwa kadiri ya mpango wa Mungu. Lakini kanisa halichukui nafasi ya Mungu ya kuwaadhibu mashoga.

Kanisa halina unafiki kama ule uliopo kwa baadhi ya waislam. Fikiria ukweli kuwa hata huku Afrika Mashariki, tabia za ufirauni zimeshamiri maeneo ya Pwani ambako ndiko kuna waislam wengi, lakini kwa nje wanajifanya wanauchukia sana ufirauni. Huo ni unafiki.
 
😅😅😅 very interesting. Yaani Waislamu hawawezi kuishi na Myahudi, Mhindu, Budha, Mkristo lakini pia hawezi kuishi hata wao kwa wao. Zanzibar tu hapo kama sio mkono wa chuma (kuna suruali fupi na ndefu kule) lazima watapigana tu.
Ukianza dhambi ya ubaguzi, huwezi kuishia hapo, ni kama kula nyama ya mtu, utaendelea tu. By J. K Nyerere, August 1995 Kilimanjaro hotel( sasa Kilimanjaro Kempisk)
Wanazuoni wa dini ya Kiislam wanatakiwa kutafakari sana mafundisho wanayowapa waumini wao. Lazima kuna shida kubwa kwenye mafundisho yao. Ni mafundisho ya kupandikiza chuki na kuwafanya wanadamu kuwa makatili kuwazidi hata wanyama.

Waislam wengi waliopata mafundisho mazuri ni watu wema sana, hawafanani kabisa na wale wenye misimamo ya ajabu ambao kwao kila kunapotokea kutoafikiana, suluhisho ni kuuana!!
 
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.
====================

Pakistani authorities say they have negotiated a seven-day ceasefire after more than 80 people were killed in renewed sectarian violence in the north-west of the country.
Another 156 are said to have been wounded in three days of fighting in the tribal district of Kurram, near the Afghan border.

The violence began on Thursday, when gunmen attacked convoys of Shia Muslims travelling through the area under police escort. More than 40 died in that incident, which triggered revenge attacks.
Shia and Sunni Muslims have engaged in tribal and sectarian rivalries over land disputes for decades.

After negotiations on Sunday, government spokesman Muhammad Ali Saif said that both Shi'ite and Sunni leaders had agreed to halt the violence, Reuters and AFP news agencies reported.

On Sunday a local administration official told AFP: "The clashes and convoy attacks on November 21, 22, and 23 have resulted in 82 fatalities and 156 injuries." Speaking on condition of anonymity, he said that 16 of the dead were Sunni and 66 belonged to the Shia community.

Those killed in Thursday's attacks on convoys included women and children. Passenger Saeeda Bano described to BBC Urdu how she feared she would be killed as she hid under the car seats with her children.
Hundreds of residents fled amid escalating violence Friday and on Saturday.

A resident of a Sunni village said members of his family have fled to safety while he stays behind. “We’ve been hearing gunfire all night. I sent the women and children of my family to hide in the mountains," the man said.

View attachment 3160583
Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza

Duh noma sn
 
Very true
 
Yaani wanashangaza kiukweli
 
Waislam wanamchukia kila mtu. Mpaka wanajichukia wenyewe. Nenda Sudan, Libya, Somalia na nchi nyingi tu za mashariki ya kati. Wanapigana wakati nchi hizo zina waislam pekee. Hakuna watu wa imani nyingine. Sasa unajiuliza wameshindwaje kuelewana watu wa imani, mtume na mungu wao mmoja? Ndipo unagundua ya kuwa uislam haukuwa dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu.
 
Ujinga wenu kama huu, ndio unaowafanya kila wakati na kila mahali muuane wenyewe kwa wenyewe. Maana mnapenda sana uwongo kuliko ukweli, mnapenda sana hadaa kulijo weledi.

Mashoga hawafungishi ndoa Kanisani. Papa Francis katika kulifafanua hilo alisema kuwa ushoga ni dhambi, na Mungu hawezi kubariki dhambi. Hizo nchi ambazo Serikali zao zimeruhusu ndoa za jinsia moja, Kanisa lina tolerate na kuendelea kuwafundusha watu maana ya ndoa kwa kadiri ya mpango wa Mungu. Lakini kanisa halichukui nafasi ya Mungu ya kuwaadhibu mashoga.

Kanisa halina unafiki kama ule uliopo kwa baadhi ya waislam. Fikiria ukweli kuwa hata huku Afrika Mashariki, tabia za ufirauni zimeshamiri maeneo ya Pwani ambako ndiko kuna waislam wengi, lakini kwa nje wanajifanya wanauchukia sana ufirauni. Huo ni unafiki.

Vipi lile kanisa la kipentekoste la mashoga kule Mbeya limehamia pwani ?? na vipi Nabii wako Tito kumbe ni mtu wa Pwani ??
 
Shia vs sunni wapi wamechapika zaidi maana hii dini ni zaidi ya bangi
 
Waislam wandmchukia kila mtu. Kaka wanajichukia wenyewe. Nenda Sudan, Libya, Somalia na nchi nyingi tu za mashariki ya kati. Wanapigana wakati nchi hizo zina waislam pekee. Hakuna watu wa imani nyingine.
Halafu wanawasingizia wazungu 🤣
 
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.
====================

Pakistani authorities say they have negotiated a seven-day ceasefire after more than 80 people were killed in renewed sectarian violence in the north-west of the country.
Another 156 are said to have been wounded in three days of fighting in the tribal district of Kurram, near the Afghan border.

The violence began on Thursday, when gunmen attacked convoys of Shia Muslims travelling through the area under police escort. More than 40 died in that incident, which triggered revenge attacks.
Shia and Sunni Muslims have engaged in tribal and sectarian rivalries over land disputes for decades.

After negotiations on Sunday, government spokesman Muhammad Ali Saif said that both Shi'ite and Sunni leaders had agreed to halt the violence, Reuters and AFP news agencies reported.

On Sunday a local administration official told AFP: "The clashes and convoy attacks on November 21, 22, and 23 have resulted in 82 fatalities and 156 injuries." Speaking on condition of anonymity, he said that 16 of the dead were Sunni and 66 belonged to the Shia community.

Those killed in Thursday's attacks on convoys included women and children. Passenger Saeeda Bano described to BBC Urdu how she feared she would be killed as she hid under the car seats with her children.
Hundreds of residents fled amid escalating violence Friday and on Saturday.

A resident of a Sunni village said members of his family have fled to safety while he stays behind. “We’ve been hearing gunfire all night. I sent the women and children of my family to hide in the mountains," the man said.

View attachment 3160583
Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza

Iran
 
Hapa lawama anapelekewa marekani na israel
 
Vipi lile kanisa la kipentekoste la mashoga kule Mbeya limehamia pwani ?? na vipi Nabii wako Tito kumbe ni mtu wa Pwani ??

Sasa mtu mwenye uwezo kama huu wa kujenga hoja ndiyo asidanganyike kwamba ukifa unaenda peponi kumiliki dangulo lako peke yako. Ambalo hakuna hata wa kukupoka. Sasa sijui wanawake wenyewe wakienda kwa allahu watapewa nini? kwako FaizaFoxy kwa udadavuzi.
 
Mkuu; rahisi tu, lete andiko. Ukitaka hivo nitaonesha hadithi nyingi tu za Mudi kuwala wanaume wenzie kinyume na maumbile, tena akia

Hivi huyu bwana bado yuko hai?
Yes bado yupo hai, anaishi Uingereza, kafikisha umri wa miaka 77 sasa. Ayatollah Khomein aliye asisi mapinduzi ya Kiislamu kule Iran, alimtangaziaga KIFO huyu jamaa mwaka 1988 halafu akafa yeye yaani, baada tu ya lile tangazo la kukitaka kichwa cha Salimin Rashidie, Mungu akaitaka yeye roho yake, akafa
Wanazuoni wa dini ya Kiislam wanatakiwa kutafakari sana mafundisho wanayowapa waumini wao. Lazima kuna shida kubwa kwenye mafundisho yao. Ni mafundisho ya kupandikiza chuki na kuwafanya wanadamu kuwa makatili kuwazidi hata wanyama.

Waislam wengi waliopata mafundisho mazuri ni watu wema sana, hawafanani kabisa na wale wenye misimamo ya ajabu ambao kwao kila kunapotokea kutoafikiana, suluhisho ni kuuana!!
Waislamu hawanaga mahubiri ya Amani. Wahubiri wote maarufu wa Kiislam huaga hawahubiri Amani, Jihad tu muda wote. Soma makara za mzee Said humu, msome sister Faiza, nenda YouTube kamsikilize sheikh Ilunga, wale wa Kenya, wale masheikh wa Zanzibar enzi za JK, wale wa Arusha etc, wote huaga hawawezi kuhubiri Amani, chuki tu. Mara mfumo Kristo, mara Nyerere. Huwezi kusikia hata neno "asante" au "samahani" full chuki tu. Hawa suruali fupi ndio balaa.
 
Back
Top Bottom