dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Dictionary ya Shetani haina maneno AMANI; UPENDO. Faraka zote hizo ni kwa sababu hawakujengwa katika msingi wa maneno hayo.Mimi huwa wananishangaza kwa roho za visasi walizonazo,
Ni mfano Eti ikitokea mtu kuchana kitabu chao Eti wanakuwa radhi kumuua mtu huyo sababu amechana kitabu kitakatifu ?? ! 🤔🤔🤔
Yaani kitabu ambacho unaweza kutoa copies nyingi kadiri uwezavyo Kwanini utake kuua mtu?
Hata kama amekufuru au kukashifu, Kwanini msimuachie Mungu mwenyewe ajiteteee?
Kwanini msimuachie Mungu amuhukumu mwenyewe bila nyie wanadamu wenye mapungufu kumtetetea huyo Mungu ??
Je Kato ya mwanadamu na huyo Mungu wenye nguvu zaidi ni nani ??
Mungu anapaswa awe na uwezo wa kujitetea mwenyewe na sio kusubiri wanadami wenye mapungufu wamtetee yeye.
Ni kama wale Mungu wa kutengeneza na kuwa controlled na binadamu ,
Ukiwa airport unakagua mzigo jamaa anakwambia “ polepole usijeukamharibu
Mungu wangu akavunjika”
Imagine 🤔🤔🤔
Mungu ambae anaweza kuharibiwa na mwanadamu ??!
Mungu ambae yuko controlled na binadamu ??
Jamani nawasihi tupendane kwa utanzania wetu.
Tusiendekeze Habari za dini.
Dini zenyewe hutegemea na vile Mwenyezi Mungu atakavyoamua uje Duniani kwa mzazi wa dini ipi, utakayokuta mzazi au mlezi wako anayo ndio na wewe utakuwa wa dini hiyo sababu unajifunza, unakuwa nayo.
Hakuna fundo wa kuchagua, zaidi ya fundi na Mhandisi ni Mwenyezi Mungu pekee.
Tupendane kama watanzania.
(1) Amani yangu nawapa; amani yangu nawaachia.
(2) Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Hivi kuna anayeweza kuwa na mashaka na maneno hayo?