Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Mimi huwa wananishangaza kwa roho za visasi walizonazo,
Ni mfano Eti ikitokea mtu kuchana kitabu chao Eti wanakuwa radhi kumuua mtu huyo sababu amechana kitabu kitakatifu ?? ! 🤔🤔🤔

Yaani kitabu ambacho unaweza kutoa copies nyingi kadiri uwezavyo Kwanini utake kuua mtu?
Hata kama amekufuru au kukashifu, Kwanini msimuachie Mungu mwenyewe ajiteteee?
Kwanini msimuachie Mungu amuhukumu mwenyewe bila nyie wanadamu wenye mapungufu kumtetetea huyo Mungu ??
Je Kato ya mwanadamu na huyo Mungu wenye nguvu zaidi ni nani ??
Mungu anapaswa awe na uwezo wa kujitetea mwenyewe na sio kusubiri wanadami wenye mapungufu wamtetee yeye.

Ni kama wale Mungu wa kutengeneza na kuwa controlled na binadamu ,
Ukiwa airport unakagua mzigo jamaa anakwambia “ polepole usijeukamharibu
Mungu wangu akavunjika”
Imagine 🤔🤔🤔
Mungu ambae anaweza kuharibiwa na mwanadamu ??!
Mungu ambae yuko controlled na binadamu ??
Jamani nawasihi tupendane kwa utanzania wetu.
Tusiendekeze Habari za dini.
Dini zenyewe hutegemea na vile Mwenyezi Mungu atakavyoamua uje Duniani kwa mzazi wa dini ipi, utakayokuta mzazi au mlezi wako anayo ndio na wewe utakuwa wa dini hiyo sababu unajifunza, unakuwa nayo.
Hakuna fundo wa kuchagua, zaidi ya fundi na Mhandisi ni Mwenyezi Mungu pekee.

Tupendane kama watanzania.
Dictionary ya Shetani haina maneno AMANI; UPENDO. Faraka zote hizo ni kwa sababu hawakujengwa katika msingi wa maneno hayo.

(1) Amani yangu nawapa; amani yangu nawaachia.
(2) Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Hivi kuna anayeweza kuwa na mashaka na maneno hayo?
 
Mbona hata Mbowe na akina Sugu wamekamatwa na wale waliokuwa wakimsindikiza wakala mtama wa nguvu au hujasikia hata Mdude yuko taabani korokoroni
Hii ina uhusiano gani na matapeli kina Mbowe ?
 
Sasa ndo ujue hata mgogoro wa mashariki ya kati kati ya israel na irani sababu kubwa ni hii yaan irani wanataka waeneze misimamo yao hivo kizuiz ni isirael hata leo isirael akatoweka bado amani haitakuwepo wataendelea kuwafyeka waisiram wa sunn ili wabaki wenyewe
 
Ugomvi wa shia na sunni unasababishwaga na nini? Tofauti yao waga ni nini?
 
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.
====================

Pakistani authorities say they have negotiated a seven-day ceasefire after more than 80 people were killed in renewed sectarian violence in the north-west of the country.
Another 156 are said to have been wounded in three days of fighting in the tribal district of Kurram, near the Afghan border.

The violence began on Thursday, when gunmen attacked convoys of Shia Muslims travelling through the area under police escort. More than 40 died in that incident, which triggered revenge attacks.
Shia and Sunni Muslims have engaged in tribal and sectarian rivalries over land disputes for decades.

After negotiations on Sunday, government spokesman Muhammad Ali Saif said that both Shi'ite and Sunni leaders had agreed to halt the violence, Reuters and AFP news agencies reported.

On Sunday a local administration official told AFP: "The clashes and convoy attacks on November 21, 22, and 23 have resulted in 82 fatalities and 156 injuries." Speaking on condition of anonymity, he said that 16 of the dead were Sunni and 66 belonged to the Shia community.

Those killed in Thursday's attacks on convoys included women and children. Passenger Saeeda Bano described to BBC Urdu how she feared she would be killed as she hid under the car seats with her children.
Hundreds of residents fled amid escalating violence Friday and on Saturday.

A resident of a Sunni village said members of his family have fled to safety while he stays behind. “We’ve been hearing gunfire all night. I sent the women and children of my family to hide in the mountains," the man said.


View attachment 3160583
Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza


Njoo huku muone, ninyi mliokuwa mnasema uislam ni mmoja.
Kosugi Bwana Utam FaizaFoxy ITR Malaria 2
 
Vita vya Msalaba kati ya Wakristo wa Magharibi na Wakristo wa Mashariki

Mwaka: 1204

Maelezo: Wakati wa Msalaba wa Nne (Fourth Crusade), wanajeshi wa Kikristo wa Ulaya Magharibi walishambulia na kupora mji wa Kikristo wa Constantinople, mji mkuu wa Dola ya Byzantine (Orthodox). Tukio hili lilisababisha mpasuko mkubwa kati ya Wakatoliki na Waorthodoksi wa Mashariki.

Unataka kusema nini kwa kutuambia story ya mwaka 12o4
 
Vita vya Dini vya Ulaya

Miaka: 1524–1648

Maelezo: Hizi zilikuwa vita kati ya Wakatoliki na Waprotestanti zilizotokea baada ya Matengenezo ya Kanisa ya Martin Luther mwaka 1517.

Wewe ni dhaifu sana katika kufikiri na kujenga hoja. Jana nika kuuliza kwa nini mnatumia lugha ya kiarabu kwenye ibada zenu. Wewe katika kujibu, ukasema mbona mtoto wako anasomeshwa shule kwa kiingereza huulizi. Na wewe ikajiona umejibu swali.

Na leo naona unajaribu kurudia jambo lile lile kama swala tano zenu.

The bottom line is, you think you are perfect, lkn sasa dunia inajionea wazi wazi makando makando yenu.
 
Kama haya maandiko yako kwenye "kitabu" then confirmed; hi dini SIO ya Mungu, dini hi ina uhusiano kabisa na alicho wahi kukiandika bwana mmoja anaitwa Salimin Rashidie. Wqzee wenzangu watamkumbuka, akindika kitabu kinaitwa "Aya za SHETANI"

Hivi huyu bwana bado yuko hai?
 
Nilifatilia imani aliyokua nayo Malcom X na waislam wenzie wa Nation of Islam(NOI), aisee ni ya ajabu sana sana.. hata sijui ni kwa namna gani walijinasibisha na uislam.

Kama ilivyo kwa wakristo kulivyo na utitiri wa manabii, huenda hata kwenye uislam kuna utitiri wa imani tofauti tofauti zinazojinasibisha na uislam, huend wanajiita Sunni au Shia ila mafundisho yao sio ya kisuuni wala kishia. Ni kwa vile wanavitu vichache vinavyofanana na uislam basi nao moja kwa moja wanajiita waislam ilhali hawafati Quran wala hadithi za Mtumr Mohammad (S.AW).

Dini kama Hindu, Ukristo na Uislam ni njema ila binadamu wamezinajisi mno, wamegeuza maandiko kwa matakwa yao ili kufurahisha na kukonga nyoyo zao, na ili kutawala kirahisi.
 
Biblia inasema ni Mungu wa vita in fact watu waliokataa kumuabudu Mungu basi Elia alitumwa kuwachinja same to Joshua naye alichinja canaan nzima kisa wanaabudu miungu.

Kuishi chini ya sheria kumepita.
Kilichobakia ni upendo pekee
 
Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano
wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?

Kuna kitu una kisahau kuwa kuna msamaha kwa wanaotubu kwa binafsi yote.
 
Hii dunia tunaiharibu wenyewe,dini ni moja Mungu ni mmoja mapanga yanatokea wapi tena?
 
Back
Top Bottom