Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

Mna michezo ya hatari [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Gazeti likishakamilika linatakiwa kutumwa kwenye printing machine.......
ambapo kimsingi kila mkoa zinapaswa kuwepo
haya mambo ya kusafirisha magazeti yamepitwa na wakati kwa kweli
Kampuni ngapi zina ubavu wa kumiliki printing machines kila mkoa? Achilia mbali zones.?

Au unadhani wao hawajawaza hilo?
 
Yaani hata MTU wa anayekwenda Arusha mmempita.nyie mmeshafika mbeya.[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni hatari mkuu, nimetia nia kuwa hio ingekuwa mara yangu ya mwisho maana bi mkubwa alilalamika sana. Hio mwezi wa 9 nliongea na maza kwenye simu saa 3 usiku nikiwa dsm na akaongea na mjukuu wake maana huwa naenda kukacheki ka chalii kangu mjini. Asubuhi anashangaa nafungua geti home. Sa hivi nimeacha mzee maana maza kalalamika sana.
 
Zamaniii nilikua napanda gari za magazeti ya mwananchi,aiseee jamaa wanakimbiaaaaaa hakuna mfano, dar mnaondoka saa 4 au 5 usiku mbeya mnafika saa 12.30 asubuhi,saa 5 wanageuza saa 3 wapo dar saa 5 wanageuza mbeya tena
Sasa ina maana wanaishi kwenye magari.
 
Hakika mkuu haya magari wanakimbiza sana kwa kweli unakuta magazeti yanachapishwa Dar saa 7usiku na yanatakiwa yaende Iringa Mbeya ili alfajiri saa 11 yaanze kusambazwa we unafikiri inakuwaje hapo
Saa 4 usiku una uwezo wa kusoma mwananchi ya kesho.

Hayafiki saa 7 usiku.
 
Gazeti likishakamilika linatakiwa kutumwa kwenye printing machine.......
ambapo kimsingi kila mkoa zinapaswa kuwepo
haya mambo ya kusafirisha magazeti yamepitwa na wakati kwa kweli
mkuu wewe unazijua mashine za kuchapa magazeti au unaongea tu??
 
Hio siamini mkuu mbeya mbali bana we! Labda kama wanalazaga mshale 180kph safari nzima
Dar- mbeya ni wastani wa 800km tu mkuu, inawezekana kabisa. Mkeka wa iyovi mpaka igawa si mchezo mkuu jamaa anateleza tuu. Ilikua ni noah old model, kutoka dar anakwambia tuta la kwanza kwake lipo ruaha hayo mengine yote alifukia.
 
Bila akili za k vant siwezi kupanda
 
Kuna ndege ya kwenda Mbeya saa 12 asubuhi.Kwa nini wasitumie huu usafiri?
Nchi hii ndege kubadilisha muda wake wa safari au kuharisha kabisa safari ni jambo la kawaida, kwa biashara ya magazeti kutumia ndege ni risk kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…