Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

Hizi gari mwendo wake ni hatari. Nimeshapanda mara kadhaa kutoka dar kwenda mbeya. Mara ya mwisho nimepanda mwezi wa 9 tulitoka kibo saa 5 na nusu usiku saa 1 tupo uyole.
Hio siamini mkuu mbeya mbali bana we! Labda kama wanalazaga mshale 180kph safari nzima
 
Kuna mtu aliwahi kuandika hapa jf kuwa ukienda kuomba kazi ya udereva kwenye kampuni za magazet unapelekwa kuonyeshwa gar zilizopata ajali alaf unaambiwa hawa wenzako wote walishatangulia mbele ya haki je uko tayari uanze kazi?
Kumbe ndo alimaanisha hivi
 
Yaani hata MTU wa anayekwenda Arusha mmempita.nyie mmeshafika mbeya.[emoji16][emoji16][emoji16]
Inashangaza kwa sababu mtu hata uwe na speed kiasi gani huwezi toka dar to arusha bila masaa 5! Hapo brake ni za matuta tu full kibati lazma uta average kwenye 130KPH

Distance: 624.3km
Average Speed: 130Kph
Time. ?
Formula: Time =Distance/speed

Ans: 4.8hrs ~ 5hrs

Dar-Chuga on average speed of 130KPH takes 5hrs.
 
Kuna mtu aliwahi kuandika hapa jf kuwa ukienda kuomba kazi ya udereva kwenye kampuni za magazet unapelekwa kuonyeshwa gar zilizopata ajali alaf unaambiwa hawa wenzako wote walishatangulia mbele ya haki je uko tayari uanze kazi?
Kumbe ndo alimaanisha hivi
Hio lazma umbwande😅
 
Niliwahi kupanda gari ya gazeti bahat nzur dereva akasimama kuchimba dawa na Mimi hapohapo nikapata upenyo nikashuka nikaingia mitini bila kudai nauli yangu nikamwachia tu akale mbele ya safari
Japo najua siishi milele
 
Ile siku niliyotoka mbeya uyole saa 7 kwenda saa 8, alafu dar nafika saa 3 kasoro ndio ulikua mwanzo na mwisho kupanda huu usafiri

Mungu awape pumziko la amani
 
Saa tano usiku had saa moja asbh ni masaa 8..
Dar mbeya ni kilomita 815...
Hapo baba avarage km 100 per hour inawezekana sema kuna pahala watakua wanafuta hadi 180km/hr kufidia sehemu za kona na milima
Kwa full throttle ya hiace ambayo ni160kph na brake brakes kwa mbali wanaweza average 130kph safari nzima basi! Wakicheza humu naweza kubali.

814/130 =6.2

Basi kihesabu inaweza fit kwa masaa 6 hapo.. it makes sense
 
Ajali imetokea mahenge iringa na sio mbeya
Title inasema "Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya" yawezekana walikuwa wanakwenda Mbeya wameomba lift ndani ya hiyo gari😳
 
Inashangaza kwa sababu mtu hata uwe na speed kiasi gani huwezi toka dar to arusha bila masaa 5! Hapo brake ni za matuta tu full kibati lazma uta average kwenye 130KPH

Distance: 624.3km
Average Speed: 130Kph
Time. ?
Formula: Time =Distance/speed

Ans: 4.8hrs ~ 5hrs

Dar-Chuga on average speed of 130KPH takes 5hrs.
Hizo ni ndege
 
Ina maana Dar walitoka saa ngapi hawa jamaa? 😎

Nahisi hii ajali ni aidha dereva alisinzia tokana na uchovu! Kuna wakati mwili unakataa kabisa sema alijitahidi kufosi afike point ambayo hakuweza kuifikia.
Ukihisi kama umrpata ile brief moment ya kusinzia, park pembeni mzee😂.. Cz next stop itakuwa kuzimu!
 
Mkuu hapo mbona wameendesha mwendo wa kistaarabu

Unaambiwa chombo kikiwa kinapeleka magazeti, ndio unaweza kuomba poo ata msitu wa mdaula wakushushe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah hio sijabahatika kupanda wakati chuma ndio inalia kuelekea Mbeya😅! Ila kwa hizi speed ina maana jamaa wanaweza peleka mzigo Dar-Moshi kwa masaa 5 tu! Yani wanatoka saa 6-11 wako mjini Moshi wanashusha.
 
Hizo ni ndege
Itakuwa ndege kweli!

Sema in this manner ndio maana madereva wa serikali wanatumia 4 hours Dar to Dom sababu wanatembelea average ya 180KPH maana akiitungua V8 mpaka 220KPH anabembea kwenye 180KPH humu akinyunyuzia ni 160KPH maana hawanaga kupigwa mikono wale anawasha full tu mchana.

Na hapo wanajicheleweshaga tu😅 ila kimsingi ukiikalia mashine vizuri ni masaa 3 tu uko Dom.
 
Bado kuna watu wanapanda hizo chinja chinja wakati siku hizi kuna new force ya usiku
Ule mwendo new force haoni kitu, kuna safari nilipanda unasali mwanzo mpaka mwisho . Masaa manne toka dar mpaka moshi, kumbuka tumetoka sinza saa nane alafu saa kumi na moja asubuhi tuko moshi.
 
Zile gar ni noma chuma inapigwa gia had ukifungua dirisha kidogo upepo ukiingia ngoma inakua kama inataka kupaa, inafika hatua had barabara unaiona nyembamba haitoshi kupishana ila muhuni yupo kishada moto bati
Hahahahahah dereva hana habari anaipa Vidonge tu mpaka mshale ukatike😅 chuma ina vidonge 5 ila dereva anatamani kuongeza cha 6!

Anabaki kuikazia kseleleta tu!
 
Ile siku niliyotoka mbeya uyole saa 7 kwenda saa 8, alafu dar nafika saa 3 kasoro ndio ulikua mwanzo na mwisho kupanda huu usafiri

Mungu awape pumziko la amani
Ilikuwa mchana au usiku?
 
Ule mwendo new force haoni kitu, kuna safari nilipanda unasali mwanzo mpaka mwisho . Masaa manne toka dar mpaka moshi, kumbuka tumetoka sinza saa nane alafu saa kumi na moja asubuhi tuko moshi.
Hahahahahah saa 8 usiku dereva kakamata chombo af 11 mpo Moshi aisee huo mpera mpera wake sio poa! Chuma imenyooshwa kweli😅

Sema tu advantage ya jamaa njia wameikariri vizuri njia yani gari anaikimbiza ila anajua wapi pa kunyunyuzia wapi pa kufidia gap!
 
Back
Top Bottom