Kwahio Lebanon hAmas hawapo? Sasa taarifa IMETOLEWA kwenye channel ya hamas na wameweka evidence zao humo hivi unadhani wale jamaa ni mafala kiasi hicho unasema wako shimoni wewe ndio uko shimoni wananetiwek yao na silaha na chakula kinaingia kila siku mbele ya idf na mateka wenu wanainjoy shimoni hukoEti "Hamas wamethinitisha " ww jamaa u can't be serious yaani watu wanaishi kwenye mashimo kama panya buku ndio wathibitishe kweli?
Huwezi kutafuta amani na magaidi yanayopanga kukuangamiza.Kama kama fursa ya kutafuta amani wangeangaikia aman mataifa yawe 2 waishimiane ama uko mbele naona giza nene kwa wazungu.
Cheki aljazeera wanairudia kila wakati hii habarinipe link nikashuhudie
Koma unasema HADI HURUMA?Hii mbinu imeni surprise sana.
Sijui hawa IDF wamewezaje????
Yaani ukiangalia video jinsi Hezbollah walivolipukiwa hadi huruma.
Watawekewa Kuna badala yaboWaliokuwa navyo mfukoni hawana map*mbu sasahivi. Operation katap*mbu
Atajulia wapiSina maneno mengi ila nashangazwa na uwezo wako mdogo wa kushindwa kufuatilia taarifa.
Ndio iko hivoEbu wekeni ushabiki wenu pembeni.. tujiulize maswali kidogo..
Pagers ni viteknolojia vya mawasiliano vya kizamani sana.. kabla hata ya nokia ringo au nokia 3310.. inategemewa ziwe salama zaidi.. ila jamaa wametumia science ya waves/frequencies tu wamezilipua..
Sasa hizi simu zetu za siku hizi zenye mambo mengi si wanaweza kuzibutua muda wowote wakiamua?
Basi sisi africa tubaki tu kama watazamaji...Ndio iko hivo
DoleTech ya zamani lakin ndio imekata pumbu za mabwana zako magaidi Hezbollah.
Sasa sijui watatumia viungo gani kuwashughulikia wale bikira 72 wenye macho kama vikombe?!
Mikwara tu hiyo..Nimeona taarifa ya Hezbollah baada ya hili tukio aah thubutuu kama una mtu unamfahamu huko Israeli mwambie aondoke.
Naona magaidi wa hamas na hizbolla wanazidi kuwahi bikra aheraaona hii Cyber attack imekutoa pangoni kwa furaha sana. Karibu jukwaani Bado tunashabikia vita dhidi ya magaidi wa Israel na taifa la palestina.
Mashoga 30 wamedondoka muda huu huko GazaNaona magaidi wa hamas na hizbolla wanazidi kuwahi bikra ahera
Naona hii Cyber attack imekutoa pangoni kwa furaha sana. Karibu jukwaani Bado tunashabikia vita dhidi ya magaidi wa Israel na taifa la palestina.
Hawana maajabuMAYAHUDI NI KIBOKO.... NIMEWASHINDWA HAWA JAMAAA... MAARABU HOI. 🤣
Hawana maajabu
Nguvu ya shekeli inawafanya waehuke. Yote hayo nyuma ya pazia ni mmarekani ndo anafanya huo ujinga.
Ulikuwa unawachukia kwa sababu gani?HAWA JAMAAA NILIKUWA NAWACHUKIA KAMA WEWE LAKINI NIMEJIKUTA KWA SASA NAWAKUBALI KINYAMA. WANA SPIRIT. IRAN WAMENYWEA MPAKA LEO MAYAHUDI WAMEZUNGUKWA NA MAARABU KOTE NA BADO WANA SURVIVE? SIYO WA KAWAIDA. JAMAA NI VIDUME HASA.