Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

Nani kabisha sasa? Israel kila nyumba iliyojengwa miaka kuanzia kabla ya 2000 inakuwa na underground shelter. Cha ajabu nini?
Au basi Secretary wa Hezbollah mzee Nasrallah yuko wapi ajitokeze aliwe kichwa. Yuko mafichoni hata hotuba na mikutano anatoa kwa TV kubwa na speaker

Tunataka ulete ushahidi wa madhara ya ICBM uchwara ya Houthi, hatutaki porojo wakati ICBM imeua nyasi porini.
Nasrallah Ajawai vaa suruali isije Pager yake anaivaa Shingoni - ikawa imemkula kichwa kama jambia🤣🤣
 
Mm najiuliza hao Mosad wameshindwa nn kuimaliza hamas??? Walamkuokoa mateka???
 
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.

_----------+

Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned Mehr News.

A senior Lebanese security source told Al-Hadath that Israel infiltrated the communication system of individual devices and detonated them.

Reports from Arab and Israeli media have said that over 1,200 people have been wounded.

Hundreds of members of the Lebanese terrorist group Hezbollah were seriously wounded on Tuesday in Lebanon's south and the southern suburbs of Beirut when the pagers they use to communicate exploded, security sources told Reuters.

A Reuters journalist saw 10 Hezbollah members bleeding from wounds in the southern suburb of Beirut known as Dahiyeh.
“Hamas is winning this war,” Maj. Gen. Gadi Shamni, a former commander of the Israeli military’s Gaza division, said. “Our soldiers are winning every tactical encounter with Hamas, but we’re losing the war, and in a big way.”
Thousands of Hamas fighters and government officials continue to wield control over large parts of Gaza. In cities where Israeli forces briefly took control, their eventual departure left a void that was swiftly filled by Hamas and other militant groups.
General Shamni said that while it was undeniable that Israel has devastated Hamas’s military capabilities, Hamas has retaken towns within “15 minutes” of Israeli withdrawals.

“There’s no one that can challenge Hamas there after Israeli forces leave,” he said.
The greatest failure, General Shamni said, is that Mr. Netanyahu has not tried to introduce a realistic alternative governing body in Gaza in the aftermath of Israeli retreats.
In late June, Rear Adm. Daniel Hagari, the Israeli military spokesman, dismissed Mr. Netanyahu’s proposition that Hamas could be wiped out.
Image
A group of soldiers mill about. One on the left is pointing up with his finger.

Daniel Hagari, the chief spokesman for the Israeli military, on the rooftop of a Palestinian home during an escorted tour for international journalists in the central Gaza Strip in January.Credit...Avishag Shaar-Yashuv for The New York Times
“Hamas is an idea,” he told Israel’s Channel 13. “Those who think we can make Hamas disappear are wrong,” he said. “The thought that it is possible to destroy Hamas, to make Hamas vanish — that is throwing sand in the eyes of the public.”
Last month, Defense Minister Yoav Gallant described Mr. Netanyahu’s “total victory” slogan as “nonsense.” And some Israeli security officials have said the battle with Hamas will be left for their children.
 
Duh angalie vitochi vyenu visiwalipukie.
 
Tech ya zamani lakin ndio imekata pumbu za mabwana zako magaidi Hezbollah.
Sasa sijui watatumia viungo gani kuwashughulikia wale bikira 72 wenye macho kama vikombe?!
migaidi ya hezbollah mingi imelipulikiwa na pager kwa hiyo imekuea exposed
 
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.

_----------+

Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned Mehr News.

A senior Lebanese security source told Al-Hadath that Israel infiltrated the communication system of individual devices and detonated them.

Reports from Arab and Israeli media have said that over 1,200 people have been wounded.

Hundreds of members of the Lebanese terrorist group Hezbollah were seriously wounded on Tuesday in Lebanon's south and the southern suburbs of Beirut when the pagers they use to communicate exploded, security sources told Reuters.

A Reuters journalist saw 10 Hezbollah members bleeding from wounds in the southern suburb of Beirut known as Dahiyeh.
Haya ni malipo ya hezbolah kwa kuchoma nyasi za israel kwa maroketi ya iran
 
Mchina anafurahia tu......hehe afrika mavifaa mengi ni ya mchina hizo seacable nyingi traffic ana control mchina bado maminara ya simu mengi ni ya mchina,,,,michezo ikianza ukanda huu wataumia wengi.......naona mabeberu walishaanza kushtuka ndo maana wakaleta starlink kenya,,ila haitasaidia kitu.........watumiaji wa iphone na mavifaa mengine ya mabeberu kwa ukanda wa afrika kaeni vizuri
 
Tech ya zamani lakin ndio imekata pumbu za mabwana zako magaidi Hezbollah.
Sasa sijui watatumia viungo gani kuwashughulikia wale bikira 72 wenye macho kama vikombe?!
Conversation. BREAKING: The hospital of the American University in Beirut, Lebanon reportedly took all pagers of its nurses and doctors about 10 days ago, and “replaced them due to technical issues”, according to employees.2 hours ago
1726600756144.png

Sulaiman Ahmed -

migaidi ya hezbollah mingi imelipulikiwa na pager kwa hiyo imekuea exposed
Conversation. BREAKING: The hospital of the American University in Beirut, Lebanon reportedly took all pagers of its nurses and doctors about 10 days ago, and “replaced them due to technical issues”, according to employees.2 hours ago
1726600804996.png

Sulaiman Ahmed -

Mmarekani huyo alafu anajifanya kukataa sio yeye hamas kathibitisha muda mfupi uliopita Marekani kahusika. Lakini lazima wajifikirie kua huwezi kumrudisha nyuma hizbollah kisa kuua raia wake watafute mbinu ambayo itakua effective ya kuwarudisha nyuma wale jamaaa
 
Wazungu ndio tuseme wameishiwa mbinu. Sasa kuuwa au kuwajerui wananchi wakawaida kweli itasaidia kushinda vita n hizbullah
 
Mmarekani huyo alafu anajifanya kukataa sio yeye hamas kathibitisha muda mfupi uliopita Marekani kahusika. Lakini lazima wajifikirie kua huwezi kumrudisha nyuma hizbollah kisa kuua raia wake watafute mbinu ambayo itakua effective ya kuwarudisha nyuma wale jamaaa
Eti "Hamas wamethibitisha " ww jamaa u can't be serious yaani watu wanaishi kwenye mashimo kama panya buku ndio wathibitishe kweli?
 
Kama kama fursa ya kutafuta amani wangeangaikia aman mataifa yawe 2 waishimiane ama uko mbele naona giza nene kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom