Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naomba niendelee kufanya mchujo,bashite toa,Mzee wa Galilaya alisha haribu hata kama sii kwa hiari yake,Hata Gwajiboy anawauza kondoo iweje kwenye sii hasa.Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila kwakua System Iko corrupted , Tunu hizi zinabaki kua zisizo na msaada .
Gwajima hakustaili kuepo hapo Simbachawene alionesha msimamo kipindi cha Magu anagombea Urais mara ya Kwanza akiwa waziri wa Nishati ni Mtu sanaMkuu huwajui vizuri hao watu
Mpina,Lissu, Heche, makonda Bashiru ni watu wakali mno,kiongozi wa juu hapaswi kuwa na Kariba ya watu hawa.
Ndugai ana dharau Sana japo si mkali kama hao jamaa.
Bashungwa hapana sheria Kali kuliko uhalisia.
Biteko ana asilimia 10 kuwa kiongozi wa juu ila ana umagufuli fulani japo siyo mkali ana falsafa za kizamani.
Gwajima hata Hafai Kwanza ni muongo Sana