Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

Kwamba hao ndio Malaika wako hapa Duniani?
 
Naenda na
Dotto
Makonda
Mpina
Naongeza na PM Kassim Majaliwa...

Bashungwa naona wa kawaida sana.
Gwajima porojo nyingi

Bashiru siasa kali anaonekana ana balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…