saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe.
“Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu lazima tuitekeleze hatuwezi kuzungumzia mafanikio haya bila kutaja fikra za Mwalimu na aliyeanzisha utekelezaji wa mradi huu.”
“Nakumbuka mikiki mikiki iliyokuwepo wakati ule, nakumbuka sabotage zilizofanywa wakati ule lakini kwa umahiri na ukakamavu Marehemu” Rais Samia Suluhu Hassan 22 Disemba 2022# Uzinduzi Ujazaji maji Bwawa la Nyerere.
Kwa kuwa nchi yetu ni ya uwazi na ukweli ni muhimu tukawajua kwa majina watu waliokuwa wanakwambisha Mradi wa JNHPP usitekelezwe ambao Rais Samia amewasema.